Saturday, 22 August 2026

Mkusanyiko wa habari

Uncategorized

KWA SABABU YA UCHAGUZI 2010 MUNGU ATUJALIE MATESO NA KILIO

YAPATA miezi nane sasa tangu nilipowaonya wapiga kura wa Tanzania waliokuwa wakifurahia kupewa ubwabwa na maharage, khanga, tisheti na kofia wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu ili wawachague…

CHONDE CHONDE MPENZI SPIKA MAKINDA

  Makinda   SIKUPATA kufiriki hata siku moja kukujadili kwa heri au kwa shari kiongozi wangu mpenzi wa Bunge, Spika Anne Makinda kwa sababu ya kuhofia kukutia doa,…

SPIKA MAKINDA KUWADI WA UFISADI?

    Makinda LEO ni sikukuu ya maboksi (boxing day) watu  wanapeana zawadi kwenye maboksi wakati wakiendelea kusherehekea sikukuu ya kuzaliwa kwa Yesu kristo, sikukuu kubwa kwa wakristu…

AKILI YA RAIS KIKWETE CHANGANYA ZA MBAYUWAYU

    Kikwete RAFIKI yangu Rais Jakaya Kikwete ndiye kiongozi mkuu wa kaya yetu. Tunayatambua mamlaka aliyonayo, hatuna shaka hata kidogo na uelewa wake wa mambo hivyo tunapaswa…

MBATIA POPO WA KISIASA ALIYECHUJA

  Mbatia HUWEZI kuandika ukurasa mmoja wa historia ya harakati za vijana katika kutafuta na kujenga mageuzi ya Taifa hili bila kuandika jina James Francis Mbatia. Huu ndiyo…

‘POSTMORTEM’ YA KICHOKONOZI YA AKILI MBILI

  Afande Barlow   AKILI mbili za binadamu wawili zimeuchanganya ulimwengu. Zimefanya uchunguzi wa maiti kwa kupeleleza sababu ya kufo na kutoa majibu tofauti. Akili hizi mbili, zote…

CCM MWALIMU MZURI

  Mkutano wa kampeni za CCM Igunga MWEZI mmoja wa kampeni za uchaguzi mdogo wa Jimbo la Igunga uliomalizika Oktoba Mosi umetuacha na fundisho kubwa la jinsi wanasiasa…

RAIS KIKWETE, HISTORIA ITATUHUKUMU (1)

    Kikwete RAFIKI yangu Rais Jakaya Kikwete, siku nyingi zijazo baada ya kufa kwetu historia itatuhukumu.  Wakati huo utakapofika, natabiri miaka alfu lela na moja ijayo, wajukuu…

DK MDUMA ATEULIWA KUKAIMU TUME YA USHINDANI

    Dk. Mduma Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage amemteua Dk. John Mduma kuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ushindani. Kwa mujibu wa taarifa…

NDANI GIZA NJE MIMBA

Na Simba Gembagu Ng’wana Njamiti Kila nikikita ninakitwa. Popote ninapokita napokewa na mikito. Napokewa na mikito halisi ya kitanzania inayonikita. Ninakita ili nijikite lakini sijikiti badala yake ninakitwa.…