Friday, 21 August 2026

Mkusanyiko wa habari

HABARI

RAIS SAMIA KUZINDUA MRADI WA JNHPP AGOSTI 22

RIPOTA PANORAMA RAIS Samia Suluhu Hassana anatarajiwa kuzindua bwawa la kuzalisha umeme wa megawati 2,115 lililopo Rufuji, Mkoa wa Pwani, Agosti 22, 2026. Akizungumza na waandishi wa habari…

MWIGULU AWAREJESHEA WATANO TABASAMU LILILOTOWEKA MIAKA 17

Ofisi ya Waziri Mkuu WAZIRI Mkuu, Mwigulu Nchemba amerejesha tabasamu lililotoweka miaka 17 iliyopita kwa watu watano waliokuwa wakigombea umiliki wa viwanja namba 2013 na 2014 vilivyopo kitalu…

UGANDA, NAMIBIA KUCHUNGUZA VURUGU ZA OKTOBA 29

RIPOTA PANORAMA NAIBU Jaji Mkuu wa Mahakama ya Juu ya Namibia ambaye pia ni Jaji Mkuu wa Mahakama Kuu na Petrus Tileinge Damaseb wa Namibia na Jaji wa…

TANZANIA, ALGERIA KUIMARISHA USHIRIKIANO WA KILIMO

RIPOTA MAALUMU TANZANIA na Algeria zimekubaliana kuimarisha sekta ya kilimo nchini kwa kutumia teknolojia za kisasa ili kuongeza tija na kuendeleza wakulima wadogo kupitia uzalishaji na biashara endelevu…

TARI – SILIANI YAAGIZWA KUTAFITI MBEGU BORA

RIPOTA MAALUMU KITUO cha Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) Seliani kilichopo mkoani Arusha kimehimizwa kufanya tafiti za mbegu bora kwa viwango vinavyokidhi mahitaji ya wakulima na soko sambamba…

MOTO MKUBWA WATEKETEZA GHALA LA VIATU NCHINI CZECH

Moto mkubwa umezuka katika jengo la kuhifadhia viatu lililopo ndani ya eneo la zamani la kiwanda cha Bata mjini Zlín, nchini Jamhuri ya Czech, na kusababisha uharibifu mkubwa…

ABABUKA NGOZI MWILI MZIMA AKIWA ANAIBA KEBO YA UMEME

Kijana mmoja raia wa Afrika Kusini amepata majeraha mwilini baada ya kupigwa na shoti ya umeme wakati akidaiwa kujaribu kuiba kebo ya umeme iliyokuwa na mkondo wa umeme.…

MWANAHARAKATI AUAWA AFRIKA KUSINI

Mwanaharakati wa kijamii nchini Afrika Kusini, Thato Molosankwe, ameuawa kwa kupigwa risasi nyumbani kwake katika eneo Lomanyaneng alfajiri ya tarehe 20 Mei 2026. Taarifa za awali zinaeleza kuwa…