UGANDA YAZIDI KUIMARISHA MAPAMBANO DHIDI YA UFISADI SHULENI
Waziri wa Serikali za Mitaa nchini Uganda, Balaam Barugahara, ameagiza kukamatwa kwa mwalimu mkuu wa Shule ya Msingi Naiku iliyopo Wilaya ya Mbale, baada ya ukaguzi kubaini tofauti…
Mkusanyiko wa habari
Waziri wa Serikali za Mitaa nchini Uganda, Balaam Barugahara, ameagiza kukamatwa kwa mwalimu mkuu wa Shule ya Msingi Naiku iliyopo Wilaya ya Mbale, baada ya ukaguzi kubaini tofauti…
Klabu ya KVC Westerlo imemtambulisha rasmi David Amegnaglo kama mchezaji wake mpya kupitia taarifa iliyochapishwa kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii. Katika ujumbe huo, klabu hiyo iliwakaribisha…
Mvutano kati ya Marekani na Iran umeingia katika hatua nyingine baada ya Marekani kutekeleza mashambulizi ambayo imesema yamelenga maeneo muhimu yanayohusishwa na Iran. Hatua hii imevunja hali ya…
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James,ametaka hatua zichukuliwe dhidi ya wote watakaobainika kusababisha ucheleweshaji wa miradi iliyokwisha kupatiwa fedha na Serikali. James ametoa kauli hiyo Juni 25,2026,…
Bunge la Wawakilishi la Marekani limepitisha azimio linalolenga kumzuia Rais wa Marekani, Donald Trump, kuchukua hatua zaidi za kijeshi dhidi ya Iran, katika ishara ya kuongezeka kwa upinzani…
Mapigano kati ya Israel na Hizbullah yameendelea kushika kasi huku wajumbe kutoka Israel na Lebanon wakikutana mjini Washington, Marekani, kwa duru ya nne ya mazungumzo ya moja kwa…
Mradi wa Kuimarisha Ubora wa Elimu ya Sekondari nchini (SEQUIP) umeendelea kuwajengea uwezo walimu katika matumizi ya mbinu bora za ufundishaji, hatua inayolenga kuinua ubora wa elimu ya…
LOS ANGELES, Marekani BIBIYE mwenye jina kubwa katika soko la muziki wa Hip hop nchini Marekani, Megan thee stallion, ametangaza kuachana na mpenzi wake, Klay Alexander Thompson. Megan…
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia watu sita kwa tuhuma za mauaji ya askari polisi, Roland Mollel, yaliyotokea usiku wa Aprili 15 katika eneo la Mlimani, Kata…
BODI ya Baraza la Kiswahili Tanzania (BAKITA), imemteua Rais wa Klabu ya Yanga SC Mhandisi Hersi Said kuwa balozi wa Kiswahili ndani na nje ya mipaka ya Tanzania.…