Friday, 21 August 2026

Mkusanyiko wa habari

Habari Kitaifa

RAIS SAMIA KUZINDUA MRADI WA JNHPP AGOSTI 22

RIPOTA PANORAMA RAIS Samia Suluhu Hassana anatarajiwa kuzindua bwawa la kuzalisha umeme wa megawati 2,115 lililopo Rufuji, Mkoa wa Pwani, Agosti 22, 2026. Akizungumza na waandishi wa habari…

MWIGULU AWAREJESHEA WATANO TABASAMU LILILOTOWEKA MIAKA 17

Ofisi ya Waziri Mkuu WAZIRI Mkuu, Mwigulu Nchemba amerejesha tabasamu lililotoweka miaka 17 iliyopita kwa watu watano waliokuwa wakigombea umiliki wa viwanja namba 2013 na 2014 vilivyopo kitalu…

UGANDA, NAMIBIA KUCHUNGUZA VURUGU ZA OKTOBA 29

RIPOTA PANORAMA NAIBU Jaji Mkuu wa Mahakama ya Juu ya Namibia ambaye pia ni Jaji Mkuu wa Mahakama Kuu na Petrus Tileinge Damaseb wa Namibia na Jaji wa…

TANZANIA, ALGERIA KUIMARISHA USHIRIKIANO WA KILIMO

RIPOTA MAALUMU TANZANIA na Algeria zimekubaliana kuimarisha sekta ya kilimo nchini kwa kutumia teknolojia za kisasa ili kuongeza tija na kuendeleza wakulima wadogo kupitia uzalishaji na biashara endelevu…

TARI – SILIANI YAAGIZWA KUTAFITI MBEGU BORA

RIPOTA MAALUMU KITUO cha Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) Seliani kilichopo mkoani Arusha kimehimizwa kufanya tafiti za mbegu bora kwa viwango vinavyokidhi mahitaji ya wakulima na soko sambamba…

BUGANDO WAFANYA UPASUAJI KUREKEBISHA SURA

Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Bugando (BMC), kwa kushirikiana na madaktari bingwa kutoka Sweden na Afrika Kusini, imefanikiwa kufanya upasuaji mkubwa wa kurekebisha sura kwa wagonjwa sita.…

KIGOMA YAFANYA UPIMAJI UTAYARI KUKABILIANA NA EBOLA

Serikali, kupitia Wizara ya Afya, imeendesha zoezi la kupima utayari wa wataalamu wa afya na sekta mbalimbali katika kukabiliana na dharura za afya ya umma, ikiwemo mlipuko wa…

MOTO MKUBWA MWANZA

Huzuni imetanda miongoni mwa wafanyabiashara wa Mtaa wa Lumumba, jijini Mwanza, kufuatia ajali ya moto iliyozuka usiku wa Julai 3, 2026 na kuharibu maduka kadhaa ya vipodozi. Wengi…