Friday, 21 August 2026

Mkusanyiko wa habari

Mikito

Ndani Giza Nje Mimba

SIMBA GEMBAGU NG’WANA NJAMITI KILA nikikita ninakitwa. Popote ninapokita napokewa na mikito. Napokewa na mikito halisi ya kitanzania inayonikita. Ninakita ili nijikite lakini sijikiti badala yake ninakitwa. Ninatafuta…

ANAKITWA ANAKITA KUJIKITA MZEE MIKITO

Simba Gembagu Ngw’ana Njamiti KUKITWA ni kukitwa na kukita ni kukita. Kukita na kukitwa sasa ni fasheni, mikito imekuwa sehemu ya maisha. Imekuwa kita nikukite, umekuwa mwendo wa…

NI MIKITO YA KASWIDA NA MAPAMBIO

Simba Gembagu Ngw’ana Njamiti MIKITO ni kukita na kukita ni kukitwa. Huo ndiyo mwenendo wetu watanzania wa zama hizi za bora liende. Kila mahali ni mikito, watanzania wanakita…

WANAKITA KIZULU, NINAKITA KISWANGLISH

Simba Gembagu Ngw’ana Njamiti NIMEKUTANA wa Wazulu, nimekutana nao nchini kwao huku bondeni kwa mzee Madiba. Lakini mzee Madiba anaumwa sana, tumuombee. Wazulu, kama walivyo waafrika wengine wana…

NAPE ANAMKITA WARIOBA KUMBEMBELEZA KIKWETE

Simba Gembagu Ngw’ana Njamiti NAPE Moses Nnauye, mwanasiasa kijana aliyepachikwa jina la utani la Kitatange, katika ukitatange wake amekuwa akimkita kwa staili wa kumbembeleza bosi wake, Rais Jakaya…