Wednesday, 7 October 2026

MOTO MKUBWA MWANZA

Huzuni imetanda miongoni mwa wafanyabiashara wa Mtaa wa Lumumba, jijini Mwanza, kufuatia ajali ya moto iliyozuka usiku wa Julai 3, 2026 na kuharibu maduka kadhaa ya vipodozi. Wengi wa waliokumbwa na tukio hilo wamepoteza bidhaa na mali zao, hali iliyowaacha wakikadiria hasara kubwa.‎‎Kwa mujibu wa taarifa za awali, chanzo cha moto huo bado hakijafahamika. Wakati […]

Huzuni imetanda miongoni mwa wafanyabiashara wa Mtaa wa Lumumba, jijini Mwanza, kufuatia ajali ya moto iliyozuka usiku wa Julai 3, 2026 na kuharibu maduka kadhaa ya vipodozi. Wengi wa waliokumbwa na tukio hilo wamepoteza bidhaa na mali zao, hali iliyowaacha wakikadiria hasara kubwa.
‎
‎Kwa mujibu wa taarifa za awali, chanzo cha moto huo bado hakijafahamika. Wakati huo huo, mamlaka husika zimeanza uchunguzi ili kubaini sababu za tukio hilo na kutoa taarifa rasmi mara baada ya uchunguzi kukamilika.
‎
‎Hadi sasa, hakuna taarifa rasmi zilizothibitisha kuwepo kwa majeruhi au vifo vinavyohusishwa na tukio hilo.

About The Author

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *