Feisal Salum Abdallah, maarufu kama Fei Toto, ni mmoja wa viungo bora wa soka nchini Tanzania. Alizaliwa tarehe 11 Januari 1998 visiwani Zanzibar na alianza safari yake ya soka...
TEHRAN, Iran
MGOGORO unaoendelea kati ya Iran na Marekani katika Mlango-Bahari wa Hormuz umetikisa uchumi wa dunia. Kila nchi, zikiwamo za Afrika, inapitia maumivu ya...
WASHINGTON DC, Marekani
UMETIMIA mwaka mmoja tangu Papa Leo XIV alipochaguliwa kuliongoza Kanisa Katoliki duniani. Aliingia madarakani Mei 8, 2025.
Hata hivyo, kwa miezi 12 aliyokaa...
JERUSALEM, Palestina
NI katika kambi za raia wa Palestina wanaoishi kwenye mahema baada ya makazi yao kusambaratishwa na mashambulizi ya Israel katika Ukanda wa Gaza.
Mbali...
LONDON, Uingereza
MICHELLE na Lavinia Osbourne walipishana dakika chache tu kuzaliwa kwao. Ni mapacha waliotokana na mama mmoja lakini baba tofauti.
Si ajabu. Kitaalamu, hiyo inawezekana...
TAIPEI, Taiwan
CHINA na Taiwan ziko jirani, zikitenganishwa na Mlango-Bahari tu. Kwa miaka mingi sasa, pande mbili hizo zimekuwa kwenye mgogoro wa kisiasa unaotishia kuziingiza...
VANCOUVER, Canada
HIVI karibuni, ulifanyika Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) mjini Vancouver na tukio lililotikisa zaidi ni lile la viongozi wa...