Kisa kinachosambaa kwa kasi katika mitandao ya kijamii kuhusu wapenzi waliodumu kwenye uhusiano kwa miaka sita lakini wakaamua kuachana baada ya kugundua wote wana genotype AS kimezua mjadala…
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Mhe. Queen Cuthbert Sendiga, amemuagiza Katibu Tawala wa Mkoa kuhakikisha hatua za kisheria zinachukuliwa dhidi ya watumishi wote waliohusika na hoja 14 zilizobainika…
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imeanza kutumia uzoefu wa bandari kubwa duniani katika kuboresha na kuendeleza miundombinu yake, hatua inayolenga kuongeza ufanisi wa huduma, kuvutia uwekezaji…
Mwanafunzi wa kidato cha tatu wa Shule ya Sekondari Kibindu wilayani Chalinze mkoani Pwani anadaiwa kujifungua mtoto wa kike na kumtupa katika shimo la choo cha mabweni ya…
Mwaka 2018, Serikali ilianza utekelezaji wa kuboresha Tanzania Ports Authority kupitia Bandari ya Tanga kwa lengo la kuifanya kuwa kitovu muhimu cha biashara na usafirishaji si kwa Tanzania…
Kama kuna eneo moja ambalo kwa sasa linaonyesha wazi dira ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, basi ni sekta ya uchukuzi…
TEHRAN, Iran MGOGORO unaoendelea kati ya Iran na Marekani katika Mlango-Bahari wa Hormuz umetikisa uchumi wa dunia. Kila nchi, zikiwamo za Afrika, inapitia maumivu ya kupanda kwa bei…
WASHINGTON DC, Marekani UMETIMIA mwaka mmoja tangu Papa Leo XIV alipochaguliwa kuliongoza Kanisa Katoliki duniani. Aliingia madarakani Mei 8, 2025. Hata hivyo, kwa miezi 12 aliyokaa Vatican, Papa…
MANCHESTER, UingerezaKUKINOA kikosi cha Manchester United kimekuwa ni kibarua kigumu kwa makocha wengi katika miaka 13 ya hivi karibuni. Ruben Amorim alikiri hilo wiki chache tu baada ya…
KYIV, UkraineUKRAINE na Israel ni mataifa yaliyokuwa na uhusiano mzuri, kabla ya hivi karibuni kuzuka kwa kasheshe, ambayo Urusi imetajwa kuwa chanzo chake. Mgogoro ulianzia kwa mwandishi wa…