Wednesday, 7 October 2026

Mkusanyiko wa habari

Panorama TV

Bandari ya Tanga sasa ina mambo mapya

Mabilioni ya fedha yaliyomwagwa na serikali kuiboresha kivifaa, mitambo na upanuzi wa magati, yameipa bandari ya Tanga, sura na uwezo mpya wa kibandari. Tanzania Panorama imefika bandarini hapo…

WAZIRI MKUU ZIARANI URUSI

Tizama video ya Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akiongelea changamoto ya uhaba wa mbolea nchini, wakati alipokuwa ziarani nchini Urusi

LATRA WASISITIZA UTEKELEZAJI MAJUKUMU YAO

Mamlaka ya Udhibiti Usafirishaji Nchini (LATRA), imeendelea kusisitiza kuwa inazidi kujikita katika kutimiza majukumu yake kwa mujibu wa sheria na kanuni zinazoongoza mamlaka hiyo, kwakuwa kwa kufanya hivyo…