Wednesday, 7 October 2026

Mkusanyiko wa habari

UTAMADUNI & UTALII

SAFARI FUPI NZURI YA CC KUJI TANAPA

RIPOTA PANORAMA Musa Nasoro Kuji ameondoka kwenye utumishi wa umma akiacha alama ambazo hazitafutika kirahisi kwa miongo mingi katika sekta ya utalii na uhifadhi hapa nchini. Kuji alianza…

SAME UTALII FESTIVAL YAVUTIA WAGENI HIFADHI YA MKOMAZI

Zaidi ya watalii wa ndani 90 wametembelea Hifadhi ya Taifa ya Mkomazi kwa lengo la kujionea vivutio mbalimbali na kufurahia utalii wa ndani, kufuatia uzinduzi wa tamasha la…

NCHI ZINAZOTEGEMEA ZAIDI SEKTA YA UTALII DUNIANI

NEW YORK, Marekani UTALII ni miongoni mwa sekta muhimu zaidi duniani, ikitajwa kuchangia takribani Dola za Marekani trilioni 11.7 kwenye Pato la Dunia kwa mwaka 2025 pekee. Sekta…

MCHANGA WA AJABU DUNIANI UPO NGORONGORO PEKEE

RIPOTA PANORAMA   SASA imethibitika pasipo shaka kuwa mchanga wa ajabu hapa duniani ambao huhama kutoka sehemu moja hadi nyingine, upo Tanzania pekee. Kuthibitisha hili, watu wote duniani…

KAMISHNA KUJI, SIMBU WAPOKEWA ZANZIBAR

KAMISHNA wa Uhifadhi, Mussa Nassoro Kuji na bingwa wa medali ya dhahabu wa mbio ndefu duniani mwaka 2025, Alphonce Simbu wamewasili Zanzibar na kupewa mapokezi ya heshima ya…

KIJAJI ATAKA TANAPA KUZINGATIA UTU

RIPOTA PANORAMA WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dk. Ashatu Kijaji amewataka wafanyakazi wa Shirika la Hifadhi za Taifa, (TANAPA) kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia utu ili kuboresha ustawi…

2024/2025 TANAPA ASILIMIA 100.64%

 SHIRIKA la Hifadhi za Taifa (TANAPA) limemaliza mwaka wa bajeti ya 2024/2025 kwa kishindo, likivuka malengo ya utekelezaji wa shughuli zake na ukusanyaji wa mapato kwa zaidi ya…

FAHAMU ULIPO MBUYU WENYE TASWIRA YA BIKIRA MARIA

ARODIA PETER KATIKA kitabu kitakatifu cha Biblia, inaelezwa kwamba Mwenyezi Mungu aliumba dunia na vitu vyote vilivyomo. Na kamwe hakuwahi kukosea katika uumbaji wake. Vitabu vya dini ya…