Friday, 21 August 2026

Mkusanyiko wa habari

BIASHARA NA UCHUMI

UCHUMI WA CHINA WAZIDI KUIMARIKA

BEIJING, China LICHA ya vita vya Marekani na Iran kuonekana kuitikisa dunia, China imeendelea kupiga hatua kubwa katika eneo la uchumi. Kwa mujibu wa ripoti mpya, uchumi wa…

BEI YA MAFUTA YASHUKA KUFUATIA MARIDHIANO YA IRAN NA MAREKANI

BEI ya mafuta duniani imeshuka baada ya Rais wa Marekani, Donald Trump, kukubali kusitisha mapigano kwa wiki mbili na Iran, hatua iliyoongeza matumaini ya kufunguliwa kwa Mlango-Bahari wa…

MWELEKEO SAHIHI TRC

MAKALA YA MTANGAZAJI UKURASA mpya wa Tanzania kuelekea mafanikio ya kibiashara na kuwa na miundombinu ya uhakika katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, umefunguliwa na Shirika la…

HAZINA YA DHAHABU BoT KUPANDISHA THAMANI YA SARAFU

RIPOTA PANORAMA SARAFU ya Tanzania inatarajiwa kupanda thamani baada ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT), kuanza kununua na kuhifadhi dhahabu inayozalishwa hapa nchini. Hayo yameelezwa na Waziri wa…

SERA ZA FEDHA ZACHOCHEA UKOPAJI SEKTA BINAFSI

RIPOTA PANORAMA UTEKELEZA wa sera za fedha na mpango wa Serikali kuboresha mazingira ya biashara, vimechochea kuongozeka kwa mikopo katika sekta binafsi ambayo sasa imefikia asilimia 22.5. Hatua…

2023 ‘FUKO LA FEDHA’ KUKUSANYA USD BIL 85.4

RIPOTA PANORAMA UCHUMI wa Tanzania unatarajiwa kukua hadi kufikia Dola za Marekani bilioni 85.5 mwaka 2023. Hayo yamesemwa na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba alipokuwa…