BEI YA MAFUTA YASHUKA KUFUATIA MARIDHIANO YA IRAN NA MAREKANI

Date:

Share post:

BEI ya mafuta duniani imeshuka baada ya Rais wa Marekani, Donald Trump, kukubali kusitisha mapigano kwa wiki mbili na Iran, hatua iliyoongeza matumaini ya kufunguliwa kwa Mlango-Bahari wa Hormuz.

Mlango huo muhimu hupitisha takriban asilimia 20 ya mafuta ya dunia, hivyo kufunguliwa kwake kunaweza kupunguza hofu ya upungufu wa nishati.

Bei ya mafuta ghafi ya Marekani imeshuka kwa zaidi ya asilimia 15 hadi chini ya dola 95 kwa pipa, huku Brent crude ikipungua kwa asilimia 13.75 hadi dola 94.68.

Hata hivyo, wachambuzi wanaonya kuwa bado haijawa wazi iwapo makubaliano hayo yatadumu au kama usafirishaji wa mafuta katika eneo hilo utarejea kawaida.

About The Author

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

spot_img

Related articles

XI JINPING AKUTANA NA SHEIKH MOHAMMED BIN ZAYED KUIMARISHA USHIRIKIANO WA CHINA NA UAE

Beijing, China Rais wa China, Xi Jinping, amekutana na Mwenyekiti wa Abu Dhabi na Rais wa Falme za Kiarabu...

RAIS MWINYI AKAGUA MRADI WA MJI WA AFCON

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametembelea na kukagua maendeleo ya...

TRUMP AFUTA PICHA YAKE AKIJIFANANISHA NA YESU AKIDAI IMETAFSIRIWA VIBAYA

Washington, Marekani Rais wa zamani wa Marekani, Donald J. Trump, ametoa ufafanuzi kufuatia picha aliyochapisha katika mtandao wake wa...

CHELSEA WAMTUPIA JICHO WILLIAM GOMES

London, Uingereza Klabu ya Chelsea imeendelea kuonyesha nia ya dhati ya kumsajili kiungo wa pembeni wa FC Porto, William...