MCHOKONOZI MSALABA wa mema na mabaya katika Taifa letu kwa sasa upo mabegani mwa Raisi Samia Suluhu Hassan...
Mchokonozi
MCHOKONOZI MOYO wangu umekaa upogo, fikra zangu zimeganda, mwili wangu umelegea, usingizi wangu umekuwa wa shida. Ninahisi...
MCHOKONOZI CHARLES MULLINDA KUNA ya vita ya manyani inayopiganwa sasa hapa nchini. Ni vita ya nyani kuchekana...
MCHOKONOZI CHARLES MULLINDA NAPE Moses Nnauye, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, ninakuandikia waraka huu...
MCHOKONOZI 0711 46 49 84 MILA, desturi na tamaduni za kiafrika zinatufundisha na kutuelekeza waafrika wadogo kiumri...
CHARLES MULLINDA KESI ya unga. Watuma maombi kwa niaba ya serikali ni wachokonozi; na wajibu maombi ni,...
NA CHARLES MULLINDA BADO sijamuona mtu wa kumfunga paka kengele ili kutanzua mtanziko uliopo sasa katika mjadala...
CHARLES MULLINDA SERIKALI imeshindwa. Imeshindwa kesi mahakamani. Imeshindwa na mfanyabiashara Mohamedi Hariri na mkewe Muna Said, waliokuwa...
NA CHARLES MULLINDA HISTORIA, licha ya kuwa mwalimu mzuri ina tabia ya kujirudia. Matukio mengi, mazuri na...
KILA ninaipoitazama Tanzania ya kesho ninawaona watoto wa watoto wetu wakitucheka kwa kushindwa kuiishi misingi ya utawala...
