FUJO ZAZUKA LONDON BAADA YA MOROCCO KUAGA KOMBE LA DUNIA
Vurugu zimeripotiwa kuzuka katika eneo la Edgware Road, jijini London, Uingereza, baada ya mashabiki wa Morocco kuonesha hasira kufuatia timu yao kutolewa kwenye michuano ya Kombe la Dunia…
Mkusanyiko wa habari
Vurugu zimeripotiwa kuzuka katika eneo la Edgware Road, jijini London, Uingereza, baada ya mashabiki wa Morocco kuonesha hasira kufuatia timu yao kutolewa kwenye michuano ya Kombe la Dunia…
Video iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha mshambuliaji wa Ufaransa, Kylian Mbappé, akiwapa moyo wachezaji wa Morocco baada ya mchezo wa robo fainali ya Kombe la Dunia imezua…
Klabu ya CR Belouizdad ya Algeria imetoa ujumbe wa kumshukuru mchezaji Jean Charles Ahoua kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii, baada ya kuhitimisha safari yake ndani ya…
Klabu ya Scotland FC, mabingwa watetezi wa soka nchini Zimbabwe, imetangaza rasmi kuwasajili mabeki wawili Emmanuel Jalai na Nickson Nyasulu, ikiwa ni sehemu ya mipango ya kuimarisha safu…
Manchester City imekamilisha usajili wa kipa chipukizi Pierce Charles kutoka Sheffield Wednesday, kwa mkataba wa miaka mitano, ikiwa ni sehemu ya mpango wa kuimarisha kikosi chake kwa muda…
Mashindano ya CECAFA Kagame Cup 2026 yamezidi kupata hamasa baada ya droo ya hatua ya makundi kukamilika na kuziweka timu mbalimbali katika makundi yenye ushindani mkubwa. Mabingwa wa…
Raia nchini Misri wametapakaa katika mitaa ya Al Alamein ijumaa ya Leo wakishuhudia paredi linalofanywa na timu ya taifa ya nchi hiyo wakitokea nchini Marekani katika michuano ya…
Klabu ya Stellenbosch FC imethibitisha rasmi kuwa mchezaji wake Ashley Cupido amejiunga na Kiryat Yam ya Israel kwa mkopo, ambapo ataitumikia timu hiyo kwa msimu mzima wa 2026/27.…
Klabu ya Newcastle United imetangaza rasmi kuondoka kwa kiungo wa Italia, Sandro Tonali, ambaye amejiunga na Tottenham Hotspur kwa uhamisho wa kudumu. Ingawa thamani ya uhamisho huo haijawekwa…
Klabu ya UD Almería imethibitisha kuwa mshambuliaji wa Brazil, Leo Baptistao, ataendelea kuitumikia timu hiyo baada ya kuongeza mkataba wake kwa msimu mmoja zaidi. Kupitia taarifa rasmi, Almería…