Michezo Kitaifa

SOMA HIYO! ISRAEL NDIYO WAASISI WA MIKWAJU YA PENALTI

LONDON, Uingereza NI jioni ya Agosti 5, 1970 kwenye Uwanja wa Boothferry Park mjini Hull, Manchester United ikiwa ugenini dhidi ya Hull City na dakika za nyongeza za mchezo huo...

AMEJIPATA! LAMPARD ALIVYOREJEA EPL AKIWEKA REKODI

LONDON, Uingereza IKIWA ni miezi 18 tu imepita tangu alipoajiriwa, Frank Lampard ameiwezesha Coventry City kupanda daraja na kurejea...

USICHUKULIE POA! PATORANKING ALIUZA SUMU YA PANYA MITAANI KABLA YA ‘KUTOBOA’

LAGOS, Nigeria WAHENGA walisema maisha ni safari yenye milima na mabonde. Kwamba katika kuishi kwako, si nyakati zote zitakuwa...

KIFO CHA BOSI KINAVYOITESA LEICESTER CITY

LONDON, UingerezaMIAKA 10 iliyopita, Leicester City waliishangaza dunia walipotwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya England (EPL) mbele ya...

ISHU YA RASHFORD BADO PASUA KICHWA

MANCHESTER, UingerezaKOCHA wa Manchester United, Michael Carrick, amesema bado haijafahamika kama Marcus Rashford atarudi klabuni hapo au atabaki...
spot_img

TFF NA BMT KUIMARISHA VYAMA VYA MPIRA WA MIGUU TANZANIA

fisa Masoko wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Bi. Hannah Kassimoto, mwishoni mwa wiki iliyopita alikutana na Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira...

SERIKALI YAINGILIA KATI UCHAGUZI WA TOC

Serikali kupitia Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, imesitisha uchaguzi wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC) uliokuwa ufanyike Aprili 12, 2026. Uamuzi...

TRA UNITED VINARA KADI NYEKUNDU KMC WAKIRUHUSU MABAO MENGI ZAIDI LIGI KUU YA NBC

ZIKIWA zimebaki mechi takribani 12 kumalizika kwa msimu huu wa Ligi Kuu Bara, tayari kadi nyekundu 10 zimeshatolewa katika mechi mbalimbali. Hata hivyo, takwimu zinaonesha...

COASTAL UNION YAACHANA NA KOCHA MOHAMMED MUYA

KLABU ya Coastal Union, imetangaza kuachana na kocha wake mkuu, Mohammed Muya, kufuatia mwenendo usioridhisha wa timu hiyo katika mashindano ya Ligi Kuu Tanzania...
spot_img