COASTAL UNION YAACHANA NA KOCHA MOHAMMED MUYA

Date:

Share post:

KLABU ya Coastal Union, imetangaza kuachana na kocha wake mkuu, Mohammed Muya, kufuatia mwenendo usioridhisha wa timu hiyo katika mashindano ya Ligi Kuu Tanzania Bara.

Kupitia ukurasa wao wa kijamii, uongozi wa klabu hiyo umeeleza kuwa umefikia makubaliano ya pande zote kusitisha kandarasi na kocha huyo.

Aidha, klabu hiyo imesema itatangaza hivi karibuni muundo mpya wa benchi la ufundi.

Kwa sasa, Coastal Union, maarufu kama Wagosi wa Kaya, wanashika nafasi ya 13 kwenye msimamo wa ligi wakiwa na alama 16 baada ya kucheza mechi 18.

About The Author

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

spot_img

Related articles

USIYOYAJUA KUHUSU KOCHA ALIYEANDIKA HISTORIA BUNDESLIGA

MUNICH, Ujerumani JINA la Marie-Louise Eta limeandika historia katika soka la Ujerumani baada ya kuwa mwanamke wa kwanza kuwa...

BURNA BOY HATAKI MAZOEA, ‘BIFU’ KWAKE KAWAIDA TU

HIVI karibuni, supastaa wa muziki wa Afrobeat, Burna Boy, aliingia kwenye mikono ya Chama cha 'Ma-dj' nchini Nigeria,...

BURKINA FASO IKO HOI AU HAI CHINI YA KAPTENI TRAORE?

HATUA ya kutangaza kuwa raia wake waaitarajie demokrasia imeibua maswali mengi juu ya uongozi wa Kapteni Ibrahim Traore...

SIMU YAKO CHANZO CHA UGONJWA WA MOYO, SARATANI?

UKWELI ulio wazi ni kwamba matumizi ya simu za mkononi yameongezeka kwa kasi duniani, Tanzania ikiwa na 'laini'...