MWANDISHI MAALUMU
WADAU wa lishe wameaswa kuunga mkono jitihada za serikali kupambana na changamoto za lishe wakati Tanzania ikijiandaa kufanya mkutano mkuu wa 11 wa...
MASHIRIKA YA HABARI YA KIMATAIFA
TAKA za plastiki sasa zinatumika kununua chakula kwenye migahawa nchini India.
Kwa mujibu wa mashirika ya habari ya kimataifa, manunuzi ya chakula...
MWANDISHI MAALUMU
KATIKA bajeti ya mwaka 2025/26, Serikali imetambulisha mpango wa kuimarisha mfumo wa afya unaolenga huduma bora za afya na lishe.
Bajeti hiyo...
MAKALA YA MTANGAZAJI
UFINYU wa Bajeti, uingizwaji wa mifugo kwenye Hifadhi za Taifa kinyumwe cha sheria, mabadiliko ya tabianchi, kuchelewa kupata fedha za kutekeleza miradi...
Simba Gembagu Ngw’ana Njamiti
KUKITWA ni kukitwa na kukita ni kukita. Kukita na kukitwa sasa ni fasheni, mikito imekuwa sehemu ya maisha.
Imekuwa kita nikukite, umekuwa...
RIPOTA PANORAMA
SARAFU ya Tanzania inatarajiwa kupanda thamani baada ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT), kuanza kununua na kuhifadhi dhahabu inayozalishwa hapa nchini.
Hayo yameelezwa na...
SIMBA wameambulia patupu, baada ya kiungo wa mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga, Yahaya Mudathir, kusaini mkataba wa miaka miwili wa kuendelea...
MAKALA MAALUMU
IKIWA imepita miaka 14 tangu marehemu Remmy Ongala alifariki dunia, muziki wake bado unaishi kwenye mioyo ya wapenzi wa muziki wa dansi ulimwengu...