Monday, 5 October 2026

Mkusanyiko wa habari

BURUDANI

MEJA KUNTA AFIWA NA BABA YAKE

BABA mzazi wa msani wa singeli, Meja Kunta amefariki dunia leo katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Temeke alikokuwa amelazwa akipatiwa matababu. Taarifa za kufariki kwa baba…

DIAMOND PLATNUMZ ATAJWA MIONGONI MWA WASANII SITA BORA AFRIKA

Msanii wa muziki kutoka Tanzania, Diamond Platnumz, ametajwa katika orodha ya wasanii sita wakubwa zaidi barani Afrika iliyochapishwa na ukurasa wa Tanzania Charts. Orodha hiyo inalenga kuwapa mashabiki…

BURIANI GWIJI WA SOKA NA MAIGIZO NCHINI, HASHIM KAMBI

Tasnia ya burudani nchini Tanzania imekumbwa na majonzi kufuatia kifo cha mwigizaji na aliyekuwa mchezaji wa zamani wa soka wa klabu ya Young Africans, Marehemu Hashim Kambi. Taarifa…

SIKIA HII! DAVIDO, CHRIS BROWN WANA JAMBO LAO

LAGOS, Nigeria SUPASTAA wa Afrobeats, Davido, amewaweka mkao wa kula mashabiki wake, akisema wajiandaye kwa ‘kolabo’ yake na mkali wa R&B nchini Marekani, Chris Brown. Katika mahojiano yake…

NINI CHANZO CHA ‘BIFU’ ZITO LA MAPACHA WA P-SQUARE?

LAGOS, Nigeria MAMBO yamezidi kuwa mabaya kwa mapacha waliowahi kutikisa soko la muziki barani Afrika kupitia Kundi la P-Square, Peter na Paul Okoye. Okoye ametangaza rasmi kubadili tarehe…

BURNA BOY HATAKI MAZOEA, ‘BIFU’ KWAKE KAWAIDA TU

HIVI karibuni, supastaa wa muziki wa Afrobeat, Burna Boy, aliingia kwenye mikono ya Chama cha ‘Ma-dj’ nchini Nigeria, ambao walipiga marufuku nyimbo zake kuchezwa. Chama hicho kiliwataka wanachama…

WALIMBWENDE 20 WA MISS WORLD TANZANIA 2026 WAWASILI DODOMA

WALIMBWENDE 20 wa shindano la Miss World Tanzania 2026, wamewasili jijini Dodoma kwa ziara maalum yenye lengo la kujifunza na kutembelea taasisi mbalimbali za serikali. Katika ziara hiyo,…

MATONYA AACHIWA KWA DHAMANA KESI YA UBAKAJI NCHINI KENYA

NAIROBI, Kenya STAA wa Bongo Fleva, Seif Shabani Matonya maarufu kama Matonya, ameachiwa kwa dhamana kufuatia mashitaka ya ubakaji yanayomkabili nchini Kenya. Msanii huyo anadaiwa kutenda kosa hilo…