YANGA VS SIMBA NI DERBY YA HESHIMA NA UBABE

Date:

Share post:

MWANDISHI WETU

ZANZIBAR:

MSEMAO wa  ‘mtani hutoki leo’ umekuwa maarufu nje ya Uwanja wa Amani, Visiwani Zanzibar ambapo mashabiki mbalimbali wa Yanga na Simba wamekuwa wakitumia msemo huo kila walipotambiana kabla ya mechi yao itakayopigwa usiku wa saa 2:30 katika dimba la Aman Complex.

Mashabiki hawa wametoka ndani ya Zanzibar nikimaanisha Unguja na Pemba na wapo waliotoka mikoa mbalimabli ya Bara.

Mechi hii iliyovuta sura ya ‘vita ya heshima au ubabe’ ambapo kama Simba atafungwa mara ya saba Yanga wataonekana wababe na kama Simba atashinda itakuwa ni heshima.

Derby hiyo haiishia katika utani wa jadi nje ya uwanja bali imeleta manufaa kwa wauzaji wa vitu mbalimbali vinavyohusika na mchezo huo vikiwemo jezi, vikombe, vuvuzela, kofia, bendera na skafu.

Je, Simba atavunja mwiko wa kupigwa ama Yanga atabaki kuwa mbabe kwa mara ya saba?

About The Author

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

spot_img

Related articles

MATUMAINI YAKONEKANA BAADA YA MAREKANI NA IRAN KUPATANISWA NA PAKISTAN

Maafisa wa Pakistan wanatarajia kupatikana kwa “mafaanikio makubwa” katika mazungumzo yanayoendelea kati ya Iran na Marekani kuhusu mpango...

IRAN YAKAMATA WAPELELEZI WA ISRAEL

TEHRAN, IranIMERIPOTIWA kuwa Iran inawashikilia watu wanne waliowataja kuwa ni wapelelezi wa Israel. Taarifa hiyo inakuja wakati huu wawakilisi...

DANGOTE, TRUMP WATAJWA WATU WENYE USHAWISHI ZAIDI DUNIANI

WASHINGTON DC, MarekaniMFANYABIASHARA maarufu Afrika, Aliko Dangote, ni miongoni mwa watu 100 wenye ushawishi duniani, kwa mujibu wa...

KOCHA ATHUMAN BILALI BILO AFARIKI DUNIA

Mkurugenzi WA kituo cha soka cha bilo football center ilichopo Jiji mwanza KOCHA ATHUMAN BILALI BILO, Afariki dunia. Meneja...