Mkurugenzi WA kituo cha soka cha bilo football center ilichopo Jiji mwanza KOCHA ATHUMAN BILALI BILO, Afariki dunia.
Meneja WA kituo hicho ELIAS mwachuka , amethibitisha Hilo akisema kituo hicho kimepata pigo kubwa sana kwa kuondokewa na mkurugenzi wao Athuman bilali bilo .
Kwani bilo alikua nichachu ya baadhi ya vijana na naendeleo ya mpira wa miguu TANZANIA
Alishawai kufundisha timu mbakimbali ikiwemo alliance football club.
Mwenyezi mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.






