Thursday, 15 October 2026

MATUMAINI YAKONEKANA BAADA YA MAREKANI NA IRAN KUPATANISWA NA PAKISTAN

Maafisa wa Pakistan wanatarajia kupatikana kwa “mafaanikio makubwa” katika mazungumzo yanayoendelea kati ya Iran na Marekani kuhusu mpango wa nyuklia wa Tehran, kupitia chanzo kikubwa cha habari cha Al Jazeera wameeleza namba mzungunzo yanvyo endelea . Matumaini hayo yamekuja wakati ujumbe wa ngazi ya juu kutoka Pakistan, ukiongozwa na Mkuu wa Jeshi, Asim Munir, ulipowasili […]

Maafisa wa Pakistan wanatarajia kupatikana kwa “mafaanikio makubwa” katika mazungumzo yanayoendelea kati ya Iran na Marekani kuhusu mpango wa nyuklia wa Tehran, kupitia chanzo kikubwa cha habari cha Al Jazeera wameeleza namba mzungunzo yanvyo endelea .

Matumaini hayo yamekuja wakati ujumbe wa ngazi ya juu kutoka Pakistan, ukiongozwa na Mkuu wa Jeshi, Asim Munir, ulipowasili mjini Tehran kwa lengo la kuwasilisha ujumbe kutoka Marekani kwa uongozi wa Iran, kwa mujibu wa kituo cha utangazaji cha Press TV cha Iran.

Imeandaliwa na Razaki Mkuluma

About The Author

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *