MWANZA WATOA MKONO WA BURIANI KWA HAYATI RAIS DK JOHN MAGUFULI
Msafara wenye mwili wa Hayati Rais Dk. John Magufuli ukitoka Uwanja wa Ndege wa Mwanza kuelekea Uwanja wa CCM Kirumba kwa ajili ya wananchi wa Mwanza kutoa heshima zao mwisho Wananchi wa Mkoa wa Mwanza wakipunga mkono wa buruani wakati msafara wenye mwili wa Hayati Rais Dk. John Magufuli ukipitishwa kwa ajili […]
Msafara wenye mwili wa Hayati Rais Dk. John Magufuli ukitoka Uwanja wa Ndege wa Mwanza kuelekea Uwanja wa CCM Kirumba kwa ajili ya wananchi wa Mwanza kutoa heshima zao mwisho
Wananchi wa Mkoa wa Mwanza wakipunga mkono wa buruani wakati msafara wenye mwili wa Hayati Rais Dk. John Magufuli ukipitishwa kwa ajili ya kuagwa
Umati mkubwa wa wananchi wa Mkoa wa Mwanza ukipunga mkono wa buruani kwenye msafara wenye jeneza lenye mwili wa Hayati Rais Dk John Magufuli
Wananchi wa Mkoa wa Mwanza wakitandaza matawi ya miti, khanga na vitenge barabarani, ishara ya kumuaga kwa heshima Hayati Rais Dk. John Magufuli