Monday, 12 October 2026

MARAIS WA AFRIKA WALIVYOMUAGA HAYATI RAIS DK. MAGUFULI

  Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akitoa heshima za mwisho kwenye jeneza lenye mwili wa Hayati Rais Dk. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi akitoa heshima za mwisho kwenye jeneza lenye mwili wa Hayati Rais Dk. John […]

 

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akitoa heshima za mwisho kwenye jeneza lenye mwili wa Hayati Rais Dk. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma


 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi akitoa heshima za mwisho kwenye jeneza lenye mwili wa Hayati Rais Dk. John Pombe Magufuli katika uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma


 

Rais wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa akitoa heshima za mwisho kwenye jeneza lenye mwili Hayati Rais Dk. John Pombe Magufuli katika uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma


 

Rais wa Zambia, Edgar Lungu akitoa heshima za mwisho kwenye jeneza lenye mwili wa Hayati Rais Dk. John Pombe Magufuli katika uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma

 



Janeth Magufuli, mjane wa Hayati Rais Dk. John Pombe Magufuli akilia kwa uchungu wakati akitoa heshima za mwisho kwenye Jeneza lenye mwili wa mume wake katika uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma.


 

Janeth Magufuli, mjane wa Hayati Rais Dk. John Pombe Magufuli akilia kwa uchungu wakati akitoa heshima za mwisho kwenye Jeneza lenye mwili wa mume wake katika uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma.

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta akitoa heshima za mwisho kwenye jeneza lenye mwili wa Hayati Rais Dk. John Pombe Magufuli katika uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma


 

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Felix Tshisekedi, akitoa heshima za Mmwisho kwenye jeneza lenye mwili wa Hayati Rais Dk. John Pombe Magufuli katika uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma

About The Author

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *