RAIS DK. HUSSEIN MWINYI AIONGOZA ZANZIBAR KUUPOKEA MWILI WA JPM
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Hussein Ali Mwinyi akiwa viongozi wengine wa serikali wakisubiri kuupokea mwili wa Hayati Rais Dk. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Viongozi wa serikali wakisubiri kuupokea mwili wa Hayati Rais Dk.John Pombe Magufuli, Uwanja wa Ndege wa Kimataifa […]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Hussein Ali Mwinyi akiwa viongozi wengine wa serikali wakisubiri kuupokea mwili wa Hayati Rais Dk. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume
Viongozi wa serikali wakisubiri kuupokea mwili wa Hayati Rais Dk.John Pombe Magufuli, Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, Zanzibar
Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) walioshikilia picha ya Hayati Rais Dk. John Pombe Magufuli wakishuka kwenye ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) baada ya ndege hiyo kutua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume ukiwa na mwili wa Hayati Rais Dk, Magufuli
Gari maalumu la kijeshi lililobeba mwili wa Hayati Rais Dk. John Magufuli likiondoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume kuelekea Uwanja wa Amani kwa ajili ya viongozi na wananchi kutoa heshima za mwisho.
Umati wa wananchi wa Zanzibar uliojitokeza barabarani kumuaga Hayati Rais Dk. John Pombe Magufuli wakati mwili wake ukipelekwa Uwanja wa Amani kwa ajili ya kuagwa
Viongozi wakisimama kutoa heshima wakati mwili wa Hayati Rais Dk. John Magufuli ukiingizwa Uwanja wa Amani
Wananchi wa Zanzibar wamejipanga barabarani kumuaga Hayati Rais Dk. John Pombe Magufuli
Wananchi wa Zanzibar wamejipanga barabarani kuuaga mwili wa Hayati Rais Dk. John Pombe Magufuli
Wananchi wa Zanzibar wakipungui mikono gari maalumuu la jeshi lililobeba mwili ya Hayati Rais Dk John Magufuli kama ishara ya kumuaga