MAHAKAMA ya Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya imemhukumu Brown Frank Mwaitubi (31), mkazi wa Kajunjumele, kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya kuwa na dawa...
NA MWANDISHI WETU SERIKALI imetumia shilingi bilioni 3.29 kukarabati na kugharamia shughuli za utawala, michezo, mitihani na posho kwa maafisa elimu kata na walimu...
Jaji Francis MutungiNA MWANDISHI WETU CHAMA cha Alliance for Change and Transparency (ACT Wazalendo) kimemwandikia barua msajili wa vyama vya siasa, kikijibu barua yake...
NA PIUS NTIGA, MOSHI WAFANYABIASHARA wadogo, maarufu kwa jina la Machinga katika Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro wamesema vitambulisho wa wajasiriamali wadogo vimewatua...
NA MWANDISHI WETU Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kassim Majaliwa aseme serikali itaendelea kufanya upya...