RAIS RAMAPHOSA ‘AMTUMBUA’ MKUU WA POLISI

Date:

Share post:

PRETORIA, Afrika Kusini

RAIS wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, ametengua uteuzi wa Mkuu wa Polisi nchini humo, Jenerali Fannie Masemola.

Jenerali huyo anakuwa kiongozi wa tatu kuchunguzwa kuchunguzwa kwa makosa ya uhalifu akiwa Mkuu wa Polisi.

Hatua ya Rais Ramaphosa ‘kumtumbua’ imetokana na Jenerali Masemola kufunguliwa mashitaka ya ufisadi.

Jenerali huyo mwenye umri wa miaka 62, anahusishwa na mkataba tata wenye thamani ya Dola za Marekani 21.

Baada ya kufikishwa mahakamani, Jenerali Masemola alikana mashitaka hayo yanayomkabili.

“Najua kabisa kuwa sina kosa, hakuna kosa nililofanya lakini lazima sheria zifuate,” amesema.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

spot_img

Related articles

ISRAEL, LEBANON ZAONGEZA WIKI TATU ZA KUSITISHA VITA

WASHINGTON DC, Marekani RAIS wa Marekani, Donald Trump, amesema Israel na Lebanon zimekubaliana kuongeza wiki tatu za kusitisha mapigano. Wakati...

PAPA AKOSOA MATESO YA WAFUNGWA GUINEA

MALABO, Guinea ya Ikweta KIONGOZI wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Leo XIV, ameeleza kutokuridhishwa na namna wafungwa wanavyoishi katika...

LEAO AINGIA RADA ZA UNITED, LIVERPOOL

MILAN, Italia MANCHESTER United na Liverpool zimeingia kwenye ushindani mkali wa kuiwania saini ya winga wa AC Milan, Rafael...

MAN CITY YATUA KWA ENZO WA CHELSEA

LONDON, Uingereza KLABU ya Manchester City inaangalia uwezekano wa kumsajili kiungo wa Chelsea, Enzo Fernandez, wakati wa usajili wa...