Uncategorized

EMERY APANGA KUIBOMOA BARCELONA

LONDON, Uingereza KOCHA wa Aston Villa, Unai Emery, anaitaka saini ya beki wa Barcelona, Alejandro Balde, na amewaambia mabosi wake waandae kitita cha Pauni milioni 43. Beki huyo wa kushoto amewahi...

BAYERN YAMKODOLEA MACHO KIUNGO WA TOTTENHAM

LONDON, Uingereza BAYERN Munich inampigia hesabu za karibu kiungo wa Tottenham na timu ya Taifa ya Senegal, Pape Matar...

RIPOTI: IDADI YA WAHAMIAJI ULAYA IMEVUNJA REKODI, UJERUMANI INAONGOZA

LONDON, UingerezaRIPOTI mpya imeonesha kuwa Ulaya nchi za Ulaya zlipokea wahamiaji milioni 64 mwaka 2025, likiwa ni ongezeko...

RAIS WA TAIWAN ASITISHA ZIARA YAKE AFRIKA, CHINA IKITAJWA KUWA CHANZO

TAIPEI, TaiwanRAIS wa Taiwan, Lai Ching-te, ameahirisha ziara yake nchini Eswatini, huku akiitaja China kuwa ndiyo chanzo cha...

USIYOYAJUA KUHUSU ZIARA YA PAPA LEO BARANI AFRIKA

KIONGOZI wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Leo XIV, yuko barani Afrika kwa ziara ya siku 10 katika mataifa...
spot_img

KAMPUNI YA BAHDELA YAJIWEKA MBALI NA TUHUMA ZA ULANGUZI WA UMEME

 Risiti ya malipo ya umeme kutoka kwenye mita zinazotengezwa na Kampuni ya Hahdela RIPOTA PANORAMA 0711 46 49 84 KAMPUNI inayotengeneza mita za umeme,...

WANA NDUGU WANAODAIWA SIYO RAIA WAPAMBANA

Patricia Kayira  RIPOTA PANORAMA 0711 46 49 84 WANA ndugu wawili, Patricia Kayira na Pamela Kayira wanaodaiwa kuwa siyo raia halali wa Tanzania sasa wameanzisha...

KANYANI AANZA KUJIBU TUHUMA ANAZOELEKEZEWA

Salim Kanyani RIPOTA PANORAMA 0711 46 49 84 SALIM Kanyani anayetajwa kuwa mganga wa kienyeji aliyejipatia fedha nyingi kwa njia ya ulaghai ameanza kujibu tuhuma...

UKAIDI WA MTURUKI MLANGUZI UMEME WA TANESCO WAFIKISHWA KWA DDP

Meneja Mawasiliano wa EWURA, Titus Kaguo  RIPOTA PANORAMA 0711 46 49 84 MAMLAKA  ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imewasilisha kwa...

MTURUKI AWALANGUA WALALAHOI UMEME WA TANESCO

 RIPOTA PANORAMA0711 46 49 84MFANYABIASHARA Ugur Gurses anacheza mchezo mchafu wa kibiashara wa kununua uneme wa TANESCO kwa bei ndogo na kuwauzia...

CHOZI LA NDOA LAIBUA TUHUMA MPYA

Michael Laiser na Pamela Kayira  RIPOTA PANORAMA 0711 46 49 84 MICHAEL Laiser anayelia kusalitiwa, kuteswa na kutelekezewa watoto na mkewe Pamela Kayira ameibua...
spot_img