EMERY APANGA KUIBOMOA BARCELONA

Date:

Share post:

LONDON, Uingereza

KOCHA wa Aston Villa, Unai Emery, anaitaka saini ya beki wa Barcelona, Alejandro Balde, na amewaambia mabosi wake waandae kitita cha Pauni milioni 43.

Beki huyo wa kushoto amewahi pia kuhusishwa na klabu kubwa mbili za England, Manchester City na Manchester United.

Nyota huyo raia wa Hispania, ni ‘panga pangua’ katika kikosi cha kwanza cha Barcelona chini ya kocha Hansi Flick.

Hata hivyo, majeraha ya misuli yaliyomkumba mara mbili hivi karibuni yalisababisha akose mechi 10.

Kukosekana kwake kumempa nafasi kubwa Joao Cancelo, ambaye Barcelona wanaangalia uwezekano wa kumsajili moja kwa moja baada ya mkopo wake kuisha mwishoni mwa msimu huu.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

spot_img

Related articles

BAYERN YAMKODOLEA MACHO KIUNGO WA TOTTENHAM

LONDON, Uingereza BAYERN Munich inampigia hesabu za karibu kiungo wa Tottenham na timu ya Taifa ya Senegal, Pape Matar...

RIPOTI: IDADI YA WAHAMIAJI ULAYA IMEVUNJA REKODI, UJERUMANI INAONGOZA

LONDON, UingerezaRIPOTI mpya imeonesha kuwa Ulaya nchi za Ulaya zlipokea wahamiaji milioni 64 mwaka 2025, likiwa ni ongezeko...

RAIS WA TAIWAN ASITISHA ZIARA YAKE AFRIKA, CHINA IKITAJWA KUWA CHANZO

TAIPEI, TaiwanRAIS wa Taiwan, Lai Ching-te, ameahirisha ziara yake nchini Eswatini, huku akiitaja China kuwa ndiyo chanzo cha...

USIYOYAJUA KUHUSU ZIARA YA PAPA LEO BARANI AFRIKA

KIONGOZI wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Leo XIV, yuko barani Afrika kwa ziara ya siku 10 katika mataifa...