RIPOTI: IDADI YA WAHAMIAJI ULAYA IMEVUNJA REKODI, UJERUMANI INAONGOZA

Date:

Share post:

LONDON, Uingereza
RIPOTI mpya imeonesha kuwa Ulaya nchi za Ulaya zlipokea wahamiaji milioni 64 mwaka 2025, likiwa ni ongezeko la asilimia 2.1 ukilinganisha na takwimu za mwaka 2024.

Pia, kwa mujibu wa ripoti hiyo, ni ongezeko la wahamiaji zaidi ya milioni 24, ukilinganisha na takwimu za mwaka 2010.

Ripoti ya Kituo cha Tafiti na Uchambuzi wa masuala ya Uhamiaji (Centre for Research and Analysis on Migration) imeitaja Ujerumani kuwa kinara wa kupokea wahamiaji barani Ulaya.

Taasisi hiyo imeeleza kuwa Ujerumani ina wahamiaji takribani milioni 18, ongezeko la asilimia takribani 70, ukilinganisha na mwaka 2010.

Kwamba asilimia 21.2 ya watu nchini Ujerumani ni wahamiaji, huku asilimia 72 kati yao wakiwa na umri wa kufanya kazi.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

spot_img

Related articles

EMERY APANGA KUIBOMOA BARCELONA

LONDON, Uingereza KOCHA wa Aston Villa, Unai Emery, anaitaka saini ya beki wa Barcelona, Alejandro Balde, na amewaambia mabosi...

BAYERN YAMKODOLEA MACHO KIUNGO WA TOTTENHAM

LONDON, Uingereza BAYERN Munich inampigia hesabu za karibu kiungo wa Tottenham na timu ya Taifa ya Senegal, Pape Matar...

RAIS WA TAIWAN ASITISHA ZIARA YAKE AFRIKA, CHINA IKITAJWA KUWA CHANZO

TAIPEI, TaiwanRAIS wa Taiwan, Lai Ching-te, ameahirisha ziara yake nchini Eswatini, huku akiitaja China kuwa ndiyo chanzo cha...

USIYOYAJUA KUHUSU ZIARA YA PAPA LEO BARANI AFRIKA

KIONGOZI wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Leo XIV, yuko barani Afrika kwa ziara ya siku 10 katika mataifa...