HAVANA, CubaRAIS wa Cuba, Miguel Diaz-Canel, hajaonesha unyonge, licha ya Taifa lake kuendelea kupewa presha kubwa na Rais wa Marekani, Donald Trump. Rais Trump amenukuliwa mara kadhaa akitishia…
BEIRUT, LebanonRAIS wa Marekani, Donald Trump, ameutangazia ulimwengu kuwa viongozi wa Israel na Lebanon wameifikia makubaliano ya kusitisha kwa siku 10 vita vilivyokuwa vikiendelea. Katika taarifa yake, Rais…
TEHRAN, IranKUGOMA kuachana na programu ya nyuklia kumetajwa kuwa sababu kuu ya Iran kushindwa kufikia mwafaka na Marekani katika mazungumzo ya amani ya hivi karibuni mjini Islamabad, Pakistan.…
CARACAS, Venezuela BAADA ya vikosi vya Marekani kumng’oa madarakani aliyekuwa Rais wa Venezuela, Nicolás Maduro kwenye oparesheni ya Januari 3, 2026, aliyekuwa Makamu wake, Delcy Rodríguez, alijitokeza hadharani…
HATUA ya kutangaza kuwa raia wake waaitarajie demokrasia imeibua maswali mengi juu ya uongozi wa Kapteni Ibrahim Traore nchini Burkina Faso. Traore aliyeingia madarakani kwa mapinduzi ya kijeshi…
UKWELI ulio wazi ni kwamba matumizi ya simu za mkononi yameongezeka kwa kasi duniani, Tanzania ikiwa na ‘laini’ (sim cards) zaidi ya milioni 75, kwa mujibu wa takwimu…
WAUMINI wa dini mbili kubwa nchini, Uislam na Ukristo, wanaweza kukubaliana kwa urahisi kwamba manabii (mitume) walitumwa katika jamii zilizokuwa zimezama kwenye maovu na kupoteza mwelekeo wa maisha.…
Washington DC, Marekani Huu si mzozo wa makombora wala si vita ya silaha nzito, bali ni vita ya maneno iliyozua gumzo duniani kati ya Rais wa Marekani, Donald…
WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk. Dorothy Gwajima, amekemea uzushi unaoenezwa na baadhi ya watu wenye nia ya kupotosha jamii kuwa mwanaume akishikwa bega…
BEIRUT, Lebanon SAHAU kwa muda kile kinachoendelea kati ya Marekani na Iran. Kwenye kona nyingine ya Mashariki ya Kati, kuna vita vingine vinavyoendelea kwa ukali mkubwa—vikihusisha Israel na…