DUNIA KUSIMAMA KWA DAKIKA 90 ARSENAL NA PSG WAKIWANIA UFALME WA SOKA BARANI ULAYA
Usiku wa leo macho ya dunia ya soka yataelekezwa katika Uwanja wa Puskás Arena jijini Budapest, Hungary, ambako miamba wawili wa soka la kisasa, Arsenal ya England na…
Mkusanyiko wa habari
Usiku wa leo macho ya dunia ya soka yataelekezwa katika Uwanja wa Puskás Arena jijini Budapest, Hungary, ambako miamba wawili wa soka la kisasa, Arsenal ya England na…
Klabu ya AFC Bournemouth imeandika historia mpya baada ya kufuzu michuano ya Ulaya kwa mara ya kwanza tangu kuanzishwa kwake, licha ya kutoka sare ya bao 1-1 dhidi…
UKIFUATILIA msimamo wa Ligi Kuu Bara na kiwango cha Simba katika mechi za hivi karibuni, unaweza kusema sasa kocha raia wa Afrika Kusini, Steve Barker, ameshaanza kulizoea soka…
TANGU George Mpole alipotwaa tuzo ya Mfungaji Bora Ligi Kuu Bara mwaka 2022, hakuna mchezaji mzawa aliyeweza kufanya hivyo hadi sasa, lakini kiungo wa Azam, Feisal Salum ‘Fei…
KATIKA mchezo wa kesho Mei 10, 2026 dhidi ya Simba, Tanzania Prisons itahitaji maajabu ya soka tu ili kupata ushindi. Ni kwa mujibu wa takwimu za ‘Wajelajela’ hao…
MADRID, Hispania KOCHA anayefanya vizuri Ligi Kuu ya England (EPL) akiwa na kikosi cha Aston Villa, Unai Emery, anafukuziwa na Real Madrid. Emery bado ana mkataba na Villa…
MANCHESTER, UingerezaKUKINOA kikosi cha Manchester United kimekuwa ni kibarua kigumu kwa makocha wengi katika miaka 13 ya hivi karibuni. Ruben Amorim alikiri hilo wiki chache tu baada ya…
MILAN, ItaliaMSIMU uliopita haukuwa mzuri kwa Inter Milan baada ya kuambulia patupu katika mashindano yote matatu ya ndani. Safari hii, upepo umebadilika. Inter wametwaa ubingwa wa Ligi Kuu…
LONDON, Uingereza ARSENAL watakuwa Emirates kuwakaribisha Atletico Madrid, mchezo wa nusu fainali ya pili ya Ligi ya Mabingwa Ulaya utakaochezwa leo Mei 5, 2026. Kesho, Bayern watakuwa nyumbani…
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema Serikali imeweka mkazo katika kuimarisha matumizi ya Kiswahili katika michuano ya Mataifa ya Afrika (AFCON 2027) kwa kuandaa…