Sunday, 11 October 2026

Mkusanyiko wa habari

MICHEZO

‎FIFA YA TANGAZA ALBAMU YA KOMBE LA DUNIA 2026

Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limetangaza kuwa limekusanya kundi la wasanii mashuhuri wa muziki kutoka sehemu mbalimbali za dunia kwa ajili ya Albamu Rasmi ya Kombe la Dunia…

DIOMANDE AFUNGUKA KUHUSU PSG HUKU LIVERPOOL WAKIMTAKA

‎Mchezaji wa RB Leipzig, Yan Diomandé, ameibua mjadala kuhusu hatma yake baada ya kueleza wazi mapenzi yake kwa Paris Saint-Germain wakati akihusishwa na uhamisho wake majira ya joto.‎‎Diomandé…

MAN CITY YATISHIA KUIBURUZA REAL MADRID MAHAKAMANI

‎Klabu ya Manchester City imetangaza kuwa inafikiria kuchukua hatua za kisheria baada ya kuibuka kwa taarifa nchini Hispania zinazodai kuwa mshambuliaji wake nyota, Erling Haaland, anaweza kuhamia Real…

REAL MADRID KUJA NA JEZI MPYA MSIMU UJAO WA LA LIGA

‎Klabu ya soka ya Real Madrid imezindua rasmi jezi yake ya nyumbani kwa msimu wa 2026/2027.‎‎Katika ujumbe wao wa utambulisho wa jezi hiyo, klabu imeeleza kuwa urembo na…

ANDONI IRAOLA ARITHI MIKOBA YA SLOT LIVERPOOL

‎Klabu ya Liverpool F.C. inatarajiwa kumtangaza rasmi Andoni Iraola kuwa kocha wake mpya baada ya kufikia makubaliano ya mkataba wa miaka miwili utakaodumu hadi Juni 2028.‎‎Kwa mujibu wa…

NBA YAAMSHA KABLA YA FAINALI KATI YA KNICKS NA SPURS

‎Ligi ya Mpira wa Kikapu ya Marekani (NBA) imeamsha kumbukumbu za mashabiki wake kuelekea mchezo wa kwanza wa Fainali za NBA kwa kuangazia baadhi ya viwanja vya kihistoria…

MANCHESTER UNITED YAKAMILISHA USAJILI WA EDERSON

‎Klabu ya Manchester United imefikia makubaliano ya kumsajili kiungo wa Atalanta, Ederson, katika dirisha la usajili la majira ya joto.‎‎Kwa mujibu wa taarifa hizo, United italipa euro milioni…