MANILA, Ufilipino
JOPO la majaji watatu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) limethibitisha kuwa Rais wa zamani wa Ufilipino, Rodrigo Duterte, atapandishwa kizimbani.
Duterte anakabiliwa na mashitaka ya uhalifu dhidi...
RIPOTA MAMALUMUMWANAMUZIKI maarufu wa Misri, Sherine Abdel Wahab amehukumiwa kifungo cha miezi sita gerezani kwa kukashifu usafi wa Mto Nile.
Sherine ambaye pia ni jaji...
MWANDISHI MAALUMUSISI vijana wa ACT- Wazalendo kutoka mikoa mbalimbali tunaendelea kusikitishwa na mwenendo wa uendeshaji wa chama chetu ambapo mpaka sasa hatuelewi kampeni inaendeshwa...
DK THOMAS KASHILLILAHNA CHARLES MULLINDAMwandishi Mwandamizi wa Jarida la Umoja, Charles Mullinda alifanya mahojiano ya ana kwa ana na Katibu Mkuu wa Bunge, Dk.Thomas...
BUNGE LA TANZANIANA CHARLES MULLINDANILIPATA hamu ya kuonana na kuzungumza na Japhet Sagasii, Katibu wa Tume ya Kurekebisha Sheria ambaye kabla ya kuteuliwa na...
RAIS WA TFF, KARIA DAR ES SALAAMKuna malalamiko kuwa ajira katika Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), zinatolewa kwa upendeleo na baadhi ya watu waliojiriwa hawana...
Ocean RoadDAR ES SALAAMTAASISI ya Saratani ya Ocean Road inatibu watu zaidi 2000 kila mwaka kwa kutumia mionzi ya Nyuklia.Hayo yameelezwa leo na Daktari...