Thursday, December 26, 2024
spot_img

TFF MOTO


RAIS WA TFF, KARIA 

DAR ES SALAAM

Kuna malalamiko kuwa ajira katika Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), zinatolewa kwa upendeleo na baadhi ya watu waliojiriwa hawana sifa huku wengine wakitajwa kuwa hawana vyeti ama wameghushi vyeti.

Taarifa kutoka ndani ya shirikisho hilo zimedai kuwa baadhi ya watu waliojiriwa bila kuwa sifa stahiki wana uswahiba wa viongozi wa juu wa shirikisho hilo.

Majina ya wanaodaiwa ajira zao hazikufuata taratibu

ni Loveness Issack ambaye ni Mhasibu, Chiku Badru – Mtunza Stoo, Maua Lubibi – Office Manager,  Latifa Chijumba – Receptionist,  Raymond Gweba – Desk Officer.


Wengine kwenye orodha hiyo ni Rose Msamila – Afisa wa Dawati la Wanawake, dereva binafsi wa Katibu wa TFF, Wilfred Kidao, ambaye ametajwa kwa jina moja la Yohana,  Jackline  Kamwamu – Katibu Muhutasi,  Jonathan  Kassano – Refa na kocha wa soka la ufukweni, Aron  Nyanda – Afisa Masoko, Clifford Ndimbo – Afisa Habari, Bonifasi Pawassa – Afisa wa Soka la Ufukweni na Baraka Kiziguto – Afisa wa Kitengo wa IT.

Taarifa kamili ya utata wa ajira hizi itawajia hapa hapa.

Nyingine Zinazohusiana na Hii

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Tufuatilie

0FansLike
3,913FollowersFollow
0SubscribersSubscribe
- Advertisement -spot_img

Habari Nyingine Mpya