Saturday, 22 August 2026

Mkusanyiko wa habari

Uncategorized

MANJI AANZA SAFARI NGUMU KORTINI

Mfanyabiashara maarufu, Yusuf Manji jana alianza safari ngumu ya kujinusuru na tuhuma za matumizi ya dawa za kulevya baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kumkuta na kesi…

EDWARD LOWASSA, ASIPOKUBALI KUFA, AKAZIKWA HATAFUFUKA

<!–[if !mso]>st1\:*{behavior:url(#ieooui) } <![endif]–> Lowassa KUNDI dogo la waombolezaji wa kisisasa limetawanyika katika sehemu mbalimbali za nchi yetu, huku kila mwanakikundi huko aliko akiwa anatoa kilio cha nguvu…

KIKWETE ANAOGOPA, TUMTIE MOYO

Jakaya Kikwete RAFIKI yangu Rais Jakaya Kikwete amekumbwa na woga mkuu kiasi kwamba sasa anajiogopa hata yeye mwenyewe. Anaogopa kufanya mambo yaliyo ndani ya uwezo wake. Hali hii…

SIKIA HAYA YA MSHANA WA MAELEZO

NILIKUWA Dodoma mwezi uliopita, nilikuwa huko kwa zaidi ya wiki moja.  Nilikwenda kuhudhuria uzinduzi wa bunge la kumi na shughuli nyingine kadhaa za kitaifa ikiwemo kuidhinishwa na bunge…

RAIS KIKWETE, DADA JOYCE MCHOKOZI

RAFIKI yangu Rais Jakaya Kikwete, ninaleta mashtaka kwako. Ninamshtaki Dada Joyce Mapunjo, ananichokoza. Ananitisha kwa kutumia kaukubwa ulikompa katika ofisi yetu. Mashtaka haya nayaleta kwako kwa nia njema…

RC MAKONDA AKABIDHIWA PIKIPIKI ZA MILIONI 400

KAMPUNI ya TONGBA ya China inayojihusisha na utengenezaji pikipiki, leo imemkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda pikipiki 10 za kisasa. Pikipiki hizo zenye thamani…

TUTAKUMBUKWA KWA KIFUNGO CHA SIKU 90

Historia ya uhuru wa vyombo vya habari Tanzania, Afrika na ulimwengu kote haiwezi kusomeka kwa usahihi pasipo kuitaja Kampuni ya New Habari (2006) Ltd, Gazeti la Mtanzania toleo…

MAKONDA AKABIDHIWA PIKIPIKI ZA MILIONI 400

KAMPUNI ya TONGBA ya China inayojihusisha na utengenezaji pikipiki, leo imemkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda pikipiki 10 za kisasa. Pikipiki hizo zenye thamani…

MANJI AANZA SAFARI NGUMU KORTIN

MFANYABIASHARA maarufu, Yusuf Manji jana alianza safari ngumu ya kujinusuru na tuhuma za matumizi ya dawa za kulevya baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kumkuta na kesi…

MASHARTI MAGUMU RAIS DOS SANTOS AKING’ATUKA

ANGOLA leo inafanya uchaguzi mkuu wa kumchagua Rais na  wabunge baada Bunge na chama tawala cha MPLA kuridhia masharti ya anayeondoka madarakani, Rais Jose Eduardo Dos Santos. Kabla…