Uncategorized

KIFO CHA BOSI KINAVYOITESA LEICESTER CITY

LONDON, UingerezaMIAKA 10 iliyopita, Leicester City waliishangaza dunia walipotwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya England (EPL) mbele ya vigogo Manchester United, Arsenal, Chelsea, Liverpool na Manchester City. Kwa sasa, Leicester...

ISHU YA RASHFORD BADO PASUA KICHWA

MANCHESTER, UingerezaKOCHA wa Manchester United, Michael Carrick, amesema bado haijafahamika kama Marcus Rashford atarudi klabuni hapo au atabaki...

BARCA YAPATA MRITHI WA LEWANDOWSKI

CATALUNYA, HispaniaKLABU ya Barcelona imeanza mipango ya kumsajili mshambuliaji wa kati wa Real Mallorca, Vedat Muriqi, ikiamini anatosha...

ARSENAL AKILI YOTE KWA MONGA

LONDON, UingerezaARSENAL ya Kaskazini mwa Jiji la London imeonesha nia ya kumsajili winga anayefanya vizuri Ligi Daraja la...

NEWCASTLE KUMUUZA MSHAMBULIAJI WA BEI MBAYA

LONDON, UingerezaKLABU ya Newcastle United itampiga bei straika raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Yoane Wissa,...
spot_img

MILIONI 18 ZAMLIZA MBUNGE WA CCM

RIPOTA PANORAMA MBUNGE wa Viti Maalumu wa Mkoa wa Iringa, Rose Tweve leo amelia machozi hadharani baada ya kupewa Shilingi milioni 18 kwa ajili ya...

MAHAKAMA YATUPA OMBI LA HOSPITALI YA KAIRUKI

RIPOTA PANORAMA OMBI lililowasilishwa na Hospitali ya Kairuki katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa kesi ya madai inayoikabili isikilizwe kwa siri limetupiliwa mbali. Hospitali ya...

MBOWE ATOKA HOSPITALINI

RIPOTA PANORAMA MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe jana usiku aliruhusiwa kutoka hospitalini alikokuwa akitibiwa na kurejea nyumbani. Mbowe alilazwa katika Hospitali...

KISWAHILI CHAKWAMISHA KESI MAHAKAKANI

RIPOTA PANORAMA, ARUSHA MAHAKAMA ya Afrika Mashariki (EACJ) leo imeshindwa kusikiliza kesi iliyofunguliwa na Baraza la Serikali ya Kijiji cha Ololosokwan kwa sababu hati ya...

MJUKUU APANGA MAUAJI YA BABU YAKE KWA MILIONI MOJA

RIPOTA PANORAMA, RUKWA MZEE mwenye umri wa miaka 72 aliyefahamika kwa jina la Paul Kisiwa, mkazi wa Kijiji cha Ng’ongo ameuawa kwa kupigwa rungu kichwani. Mzee...
spot_img