MASHAMBULIZI YA ISRAEL YAUA WATU 14 LEBANON

Date:

Share post:

BEIRUT, Lebanon

WIZARA ya Afya ya Lebanon imetangaza vifo vya watu 14 vilivyosabishwa na mashambulizi ya Israel jana Aprili 26, 2026.

Kwa mujibu wa taarifa yake, watoto wawili na wanawake wawili ni miongoni mwa waliopoteza maisha, huku wengine 37 wakijeruhiwa.

Wakati huo huo, Jeshi la Israel (IDF) limekiri kutelekeza mashambulizi ya anga kwa madai ya kulenga kambi za Kundi la kigaidi la Hezbollah.

Kabla ya mashambulizi, IDF lilitangaza hali ya hatari kwa wakazi wa Kusini mwa Lebanon, likiwataka kuhama ili kunusuru maisha yao.

Aidha, Israel nayo imekiri kuuawa kwa mwanajeshi wake mwenye umri wa miaka 19 na wengine sita kujeruhiwa na wapiganaji wa Hezbollah.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

spot_img

Related articles

MEGAN AACHANA NA MPENZI WAKE KISA ‘KUCHEPUKA’

LOS ANGELES, Marekani BIBIYE mwenye jina kubwa katika soko la muziki wa Hip hop nchini Marekani, Megan thee stallion,...

SERIKALI YAWEKA WAZI MKAKATI WA KUIFANYA SEKTA YA MADINI KUWA MHIMILI WA UCHUMI

Akiwasilisha bajeti ya Wizara ya Madini kwa mwaka wa fedha 2026/2027 bungeni jijini Dodoma leo Aprili 27, 2026,...

KINDA AJAX AZIGONGANISHA ARSENAL, CHELSEA

LONDON, Uingereza KLABU za Arsenal na Chelsea zimeingia kwenye vita ya kuiwania saini ya staa wa Ajax ya Uholanzi,...

MABORESHO YA UWANJA WA BENJAMINI MKAPA YAANZA RASMI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson...