KINDA AJAX AZIGONGANISHA ARSENAL, CHELSEA

Date:

Share post:

LONDON, Uingereza

KLABU za Arsenal na Chelsea zimeingia kwenye vita ya kuiwania saini ya staa wa Ajax ya Uholanzi, Mika Godts.

Godts, ambaye amepachikwa jina la ‘Eden Hazard mpya’, amekuwa na kiwango bora msimu huu, akifunga mabao 16 na kutoa ‘asisti’ 12.

Kutokana na kiwango chake bora, klabu kadhaa zingine za nje ya England zinazomtolea macho zi Aston Villa, Newcastle United na Leeds United.

Wakati huo huo, Tottenham, Liverpool na Manchester United nazo zimeripotiwa kupigia hesabu huduma ya mchezaji huyo.

Nje ya England, jina la Godts limetajwa pia La Liga, ambapo klabu za Barcelona na Atletico Madrid zimeripotiwa kumtaka.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

spot_img

Related articles

MEGAN AACHANA NA MPENZI WAKE KISA ‘KUCHEPUKA’

LOS ANGELES, Marekani BIBIYE mwenye jina kubwa katika soko la muziki wa Hip hop nchini Marekani, Megan thee stallion,...

SERIKALI YAWEKA WAZI MKAKATI WA KUIFANYA SEKTA YA MADINI KUWA MHIMILI WA UCHUMI

Akiwasilisha bajeti ya Wizara ya Madini kwa mwaka wa fedha 2026/2027 bungeni jijini Dodoma leo Aprili 27, 2026,...

MABORESHO YA UWANJA WA BENJAMINI MKAPA YAANZA RASMI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson...

ANTONIO CONTE ATAJWA KURUDI CHELSEA

LONDON, Uingereza HUENDA kocha raia wa Italia, Antonio Conte, akarejea kuliongoza benchi la ufundi la Chelsea lililoachwa wazi na...