WAZIRI WA IRAN AWASILI URUSI KUKUTANA NA RAIS PUTIN

Date:

Share post:

MOSCOW, Urusi

WAZIRI wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amewasili nchini Urusi na anatarajiwa kufanya mazungumzo na wenyeji wake, Rais Vladimir Putin.

Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vya habari, ziara yake imelenga kutafuta uungwaji mkono kutoka kwa Urusi.

Akiwa Pakistan, Araghchi alikutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Ulinzi wa nchi hiyo, Asim Munir, Waziri Mku, Shehbaz Sharif, na Waziri wa Mambo ya Nje, Ishaq Dar.

Hatua hiyo inakuja wakati awamu ya pili ya mazungumzo ya kusaka suluhu kati ya Iran na Marekani ikiwa imekwana.

Pia, hii ni ziara nyingine ya nje kwa Araghchi baada ya kwenda Pakistan na Oman, ambako ajenda kuu ilikuwa ni mzozo wa Mashariki ya Kati.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

spot_img

Related articles

MEGAN AACHANA NA MPENZI WAKE KISA ‘KUCHEPUKA’

LOS ANGELES, Marekani BIBIYE mwenye jina kubwa katika soko la muziki wa Hip hop nchini Marekani, Megan thee stallion,...

SERIKALI YAWEKA WAZI MKAKATI WA KUIFANYA SEKTA YA MADINI KUWA MHIMILI WA UCHUMI

Akiwasilisha bajeti ya Wizara ya Madini kwa mwaka wa fedha 2026/2027 bungeni jijini Dodoma leo Aprili 27, 2026,...

KINDA AJAX AZIGONGANISHA ARSENAL, CHELSEA

LONDON, Uingereza KLABU za Arsenal na Chelsea zimeingia kwenye vita ya kuiwania saini ya staa wa Ajax ya Uholanzi,...

MABORESHO YA UWANJA WA BENJAMINI MKAPA YAANZA RASMI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson...