Wednesday, 7 October 2026

Mkusanyiko wa habari

MAKALA

NYUMA YA PAZIA ‘KITANZI’ CHA MAREKANI KWA JOSEPH KABILA

WASHINGTON DC, MarekaniSERIKALI ya Marekani imetangaza vikwazo kwa Rais wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Joseph Kabange Kabila, uamuzi uliotokana na madai ya kushirikiana na…

UTAFITI: VIJANA WENGI WANAKWEPA KUPIMA UKIMWI

KASI ya maambukizi ya virusi vya Ukimwi kwa vijana imeendelea kuwa kubwa barani Afrika, huku kundi hilo likiwa na mwitikio mdogo katika kupima afya zao, kwa mujibu wa…

ILO: MAENEO YA KAZI HUSABABISHA VIFO 840,000 KILA MWAKA

HIYO ni kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Kazi la Umoja wa Mataifa (ILO), ikieleza namna mazingira ya kazi yanavyoweza kuhatarisha afya na kusababisha kifo kwa mwajiriwa.…

UPASUAJI WA KUKUZA MATITI WAPUNGUA

KWA mara ya kwanza katika historia ya Uingereza, idadi ya wanawake wanaofanya upasuaji wa kupunguza ukubwa wa matiti imekuwa kubwa kuliko ya wanaoongeza. Hilo limethibitishwa na utafiti wa…

VITA VINAVYOIUMIZA SEKTA YA AFYA NCHINI SUDAN

DARFUR, SudanIKIWA ni miaka mitatu sasa tangu Sudan ilipoingia kwenye machafuko ya vita vya wenyewe kwa wenyewe, sekta ya afya nchini humo inapitia wakati mgumu zaidi. Shirika la…

USIYOYAJUA KUHUSU ZIARA YA PAPA LEO BARANI AFRIKA

KIONGOZI wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Leo XIV, yuko barani Afrika kwa ziara ya siku 10 katika mataifa ya Algeria, Angola, Cameroon na Guinea ya Ikweta. Ukiacha Algeria…

MATESO WANAYOPITIA WATOTO KATIKA MACHAFUKO YA SUDAN

DARFUR, Sudan “HALI ya watoto nchini Sudan inazidi kuwa mbaya kila baada ya saa moja.” Hiyo ni kauli ya Msemaji wa Shirika la Watoto la Umoja wa Mataifa…

TAJIRI WA MAN CITY ANAHUSIKA VIPI VITA NCHINI SUDAN?

MANCHESTER, UingerezaMMILIKI wa klabu ya Manchester City, Sheikh Mansour bin Zayed Al-Nahyan, anakabiliwa na tuhuma nzito za kusambaza silaha zinazotumika kwenye machafuko yanayoendelea nchini Sudan. Taasisi ya Haki…