Sunday, 11 October 2026

Mkusanyiko wa habari

MICHEZO

‘KARIAKOO DERBY’ YAVUNJA REKODI YA MABAO

BAADA ya sare ya mabao 2-2 jana Mei 3, 2026, mechi inayozikutanisha Simba na Yanga, maarufu kwa jina la ‘Kariakoo Derby’, imeandika historia mpya Ligi Kuu Bara. Simba…

MASTAA WA KIGENI WAENDELEA KUTAMBA ‘KARIAKOO DERBY’

DAKIKA 90 za ‘Kariakoo Derby’ zilitamatika jana Mei 3, 2026 katika Uwanja wa Jenerali Isamhuyo jijini Dar es Salaam kwa vigogo wa soka, Simba na Yanga, kutoka sare…

MAJERAHA YANAVYOMZUIA HAVERTZ KUWIKA ARSENAL

LONDON, Uingereza BALAA la majeraha lilianzia Februari, 2025, wakati Arsenal ilipokuwa Dubai. Kai Havertz alipata majeraha ya nyama za paja, akafanyiwa upasuaji uliomweka nje ya uwanja kwa miezi…

MAN CITY ITAENDELEA KUTAMBA GUARDIOLA AKIONDOKA?

MANCHESTER, Uingereza HILO ndilo swali wanalojiuliza mashabiki na hata viongozi wa Manchester City kwa sasa. Maisha yatakuwaje baada ya Pep Guardiola kuondoka mwishoni mwa msimu huu wa 2025-26?…

BRUNO AWEKA REKODI UNITED IKIRUDI UEFA

MANCHESTER, Uingereza BAADA ya ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Liverpool jana Mei 3, 2026, Manchester United imefuzu kushiriki michuano ya Shirikisho la Soka la Ulaya (UEFA) ya…

RAIJNDERS WA CITY KUREJEA SERIAL A

MANCHESTER, Uingereza KIUNGO wa kimataifa wa Uholanzi, Tijjani Reijnders, huenda akaondoka Manchester City na kutimkia Ligi Kuu ya Italia (Serie A) mwishoni mwa msimu huu. Reijnders (27), aliwahi…

MADRID YAMPIGA ‘STOP’ ENDRICK

MADRID, Hispania KLABU ya Real Madrid haina mpango wa kumpiga bei mshambuliaji wake wa kati raia wa Brazil, Endrick, kwa mujibu wa mtandao wa TEAMtalk. Baada ya kushindwa…

GUEYE AINGIA ANGA ZA MUSONDA, INONGA

BAO la dakika ya tatu alilofunga Libasse Gueye katika sare ya mabao 2-2 dhidi ya Yanga limemfanya mshambuliaji huyo wa Simba kufuata nyayo za mastaa wa zamani wa…

YALIYOJIRI MKUTANO MKUU WA FIFA

VANCOUVER, CanadaMKUTANO Mkuu wa 76 wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) ulifanyika Aprili 30, 2026 mjini Vancouver na kuhudhuriwa na watu zaidi ya 1,600. Ni Mkutano uliofanyika…