JALAL JAYED ANG’ARA KUSIMAMIA MECHI YA UJERUMANI NA PARAGUAY
Mwamuzi wa kimataifa kutoka Morocco, Jalal Jayed, ameendelea kuonyesha kiwango cha juu cha uamuzi baada ya kusimamia mchezo wa hatua ya 16 Bora wa Kombe la Dunia la…
Mkusanyiko wa habari
Mwamuzi wa kimataifa kutoka Morocco, Jalal Jayed, ameendelea kuonyesha kiwango cha juu cha uamuzi baada ya kusimamia mchezo wa hatua ya 16 Bora wa Kombe la Dunia la…
Kocha raia wa Ufaransa, Romain Folz, ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya Al Ittihad Alexandria, na kuwa kocha wa kwanza kutangazwa rasmi na klabu hiyo kuelekea msimu…
Rais wa FIFA, Gianni Infantino, amekuwa gumzo mitandaoni baada ya picha zinazoonekana kumuonyesha akiwa kwenye mechi mbili tofauti kusambaa.Katika picha hizo, Infantino anaonekana kwenye uwanja akifuatilia mchezo wa…
Cape Verde imefanikiwa kufuzu hatua ya mtoano ya Kombe la Dunia baada ya kutoka sare dhidi ya Saudi Arabia katika mchezo wake wa mwisho wa Kundi H, na…
Arsenal imepata pigo katika harakati zake za kuimarisha kikosi baada ya Newcastle United kukataa ofa rasmi ya pauni milioni 55 kwa ajili ya kumsajili kiungo Bruno Guimarães. Kwa…
Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye, amezipokea timu za taifa za vijana za U17 na U15 kufuatia mafanikio yao ya kutwaa ubingwa wa Afrika katika mashindano ya vijana.Katika…
Msanii maarufu wa muziki kutoka Tanzania, Rayvanny, ametangaza kwa furaha ushiriki wake katika matukio yanayohusiana na Kombe la Dunia la FIFA 2026 yatakayofanyika jijini Toronto nchini Canada tarehe…
Klabu ya Manchester United imeendelea kumfuatilia kwa karibu kiungo wa Ureno Mateus Fernandes huku ikitajwa kuwa miongoni mwa vilabu vinavyotaka kumsajili katika dirisha lijalo la usajili wa majira…
Rais wa Shirikisho la Soka la Kenya (FKF), Hussein Mohammed, ameungana na wachezaji, makocha, waamuzi wa mechi pamoja na wadau mbalimbali wa soka katika hafla ya utoaji wa…
Klabu ya Beşiktaş ya Uturuki imefikia makubaliano na kocha raia wa Italia, Vincenzo Italiano, kumteua kuwa kocha mkuu mpya wa timu hiyo kwa mkataba wa miaka mitatu utakaodumu…