Saturday, 22 August 2026

Mkusanyiko wa habari

MICHEZO

AS MONACO YAPATA PIGO ZITO, MWAMBA KAAGA RASMI

Beki kijana Kassoum Ouattara ameanza rasmi ukurasa mpya wa maisha yake ya soka baada ya kujiunga na Beşiktaş J.K. akitokea AS Monaco FC. Ouattara anaondoka Monaco baada ya…

SIO SIRI TENA KIONGOZI WAO KAONDOKA KLABUNI

Klabu ya Al-Ittihad SC imetoa salamu maalum za kumuaga aliyekuwa nahodha wake, Talal Faraj, baada ya kumalizika kwa kipindi chake cha kuitumikia timu hiyo. Kupitia taarifa iliyochapishwa na…

TAARIFA HII IMEWASHTUA WATU WENGI, SIO SIRI TENA

Klabu ya Athletic Club imetangaza rasmi kumuongezea mkataba Mkurugenzi wake wa Masuala ya Soka, Mikel González, ambaye sasa ataendelea kuhudumu katika nafasi hiyo hadi mwaka 2030. Uamuzi huo…

BAYERN MUNICH YAONYESHA JEURI YA PESA

Klabu ya Bayern Munich imetangaza rasmi kukamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji Ismael Saibari kwa ada ya uhamisho inayoripotiwa kufikia euro milioni 55. Saibari, ambaye ameonyesha kiwango bora katika…

KAMA NI KWELI, TOTTENHAM WANASUKA BOMU

Klabu ya Tottenham Hotspur ipo katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa viungo wawili, Sandro Tonali na Mateus, katika dirisha hili la usajili. Kwa mujibu wa taarifa…

DRC CONGO HAWAPASWI KUTOA HATA TONE LA CHOZI

Matokeo ya kufungwa 2-1 na England yanaweza kuumiza, lakini kwa namna DRC Congo walivyocheza, hakuna sababu ya kujiona wameshindwa vibaya. Ukiangalia ubora wa kikosi cha England, tofauti ilikuwa…

KLOPP AFUNGUA MLANGO KUINOA UJERUMANI

Aliyekuwa kocha wa Liverpool, Jürgen Klopp, ameonyesha utayari wa kurejea benchi la ufundi ikiwa atapewa jukumu la kuinoa timu ya taifa ya Ujerumani. Ripoti zinaeleza kuwa, licha ya…

BELOUIZDAD YAMNASA KIUNGO WA TUNISIA, HOUSSEM TKA

Klabu ya Shabab Belouizdad ya Algeria imemtangaza rasmi kiungo wa kimataifa wa Tunisia, Houssem Tka, kuwa mchezaji wake mpya ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya msimu wa 2026/2027.…

REAL MADRID YATAKA KUVUNJA REKODI KWA KUMSAJILI MICHAEL OLISE

Baada ya kumalizika kwa mashindano ya Kombe la Dunia, kiungo mshambuliaji wa Bayern Munich, Michael Olise, anatarajiwa kukutana na viongozi wa klabu hiyo kwa ajili ya kujadili mustakabali…