Wednesday, 14 October 2026

Mkusanyiko wa habari

MICHEZO

SENESI SASA AINGIA RADA ZA LIVERPOOL

MERSEYSIDE, Uingereza KLABU ya Liverpool imeanza rasmi mbio za kunasa saini ya beki wa Bournemouth, Marcos Senesi. Taarifa za Senesi kuondoka Bournemouth zimeongezeka tangu kocha Andoni Iraola aliposema…

MOURINHO KOCHA MPYA NEWCASTLE MSIMU UJAO?

LONDON, UingerezaUONGOZI wa Newcastle United unaangalia uwezekano wa kumrejesha Ligi Kuu ya England kocha wa zamani wa klabu za Chelsea na Manchester United, Jose Mourinho. Kocha wa sasa,…

ARSENAL YAWAWEKA SOKONI JESUS, HAVERTZ

LONDON, UingerezaKATIKA kukusanya mkwanja wa kufanikisha usajili wa staa wa Atletico Madrid, Julian Alvarez, Arsenal imepanga kuwauza Gabriel Jesus na Kai Havertz. Arsenal wanatambua mtihani mkubwa uliopo mbele…

KANE AWEKA REKODI AKIIPELEKA BAYERN NUSU FAINALI ULAYA

MUNICH, UjerumaniSTRAIKA wa Bayern Munich, Harry Kane, amekuwa mchezaji wa kwanza raia wa England kufikisha mabao 12 katika msimu mmoja wa michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Kane…

MASTAA HAWA KUKOSA KOMBE LA DUNIA 2026 KISA MAJERAHA

LONDON, UingerezaNI miezi takribani miwili tu imebaki, kabla ya kuanza kwa fainali za Kombe la Dunia za mwaka huu zitakazofanyika Marekani, Canada na Mexico. Kuelekea michuano hiyo, taarifa…

KOCHA ATHUMAN BILALI BILO AFARIKI DUNIA

Mkurugenzi WA kituo cha soka cha bilo football center ilichopo Jiji mwanza KOCHA ATHUMAN BILALI BILO, Afariki dunia. Meneja WA kituo hicho ELIAS mwachuka , amethibitisha Hilo akisema…

RAFIKI AMCHIMBIA MKWARA LIONEL MESSI

MIAMI, MarekaniKOCHA mpya wa Inter Miami, Guillermo Hoyos, amesema urafiki wake na Lionel Messi haumaanishi kuwa atamlegezea mazoezini. Hoyos mwenye umri wa miaka 62, amekabidhiwa mikoba ya kuinoa…

WAKALI WA ‘ASISTI’ LIGI YA MABINGWA ULAYA 2025-26

LONDON, Uingereza KUFIKIA hatua hii, ambapo Bayern Munich, Arsenal, Atletico Madrid na PSG ndizo zilizoingia nusu fainali, kuna vita ya pasi za mabao (asisti) inayoendelea. Staa wa Bayern…