Habari Kitaifa

FEISAL SALUM NA SIMULIZI YA KUHUZUNISHA: BABA YAKE HAJAWAHI KUMSHUHUDIA AKIWA UWANJANI

Feisal Salum Abdallah, maarufu kama Fei Toto, ni mmoja wa viungo bora wa soka nchini Tanzania. Alizaliwa tarehe 11 Januari 1998 visiwani Zanzibar na alianza safari yake ya soka...

BUGANDO WAFANYA UPASUAJI KUREKEBISHA SURA

Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Bugando (BMC), kwa kushirikiana na madaktari bingwa kutoka Sweden na Afrika Kusini,...

KIGOMA YAFANYA UPIMAJI UTAYARI KUKABILIANA NA EBOLA

Serikali, kupitia Wizara ya Afya, imeendesha zoezi la kupima utayari wa wataalamu wa afya na sekta mbalimbali katika...

UKRAINE YASHAMBULIA BANDARI NA MIUNDOMBINU URUSI

‎Vita kati ya Ukraine na Urusi vimechukua sura mpya baada ya Ukraine kutekeleza shambulizi kubwa la droni usiku...

MOTO MKUBWA MWANZA

Huzuni imetanda miongoni mwa wafanyabiashara wa Mtaa wa Lumumba, jijini Mwanza, kufuatia ajali ya moto iliyozuka usiku wa...
spot_img

SERIKALI YARUHUSU MAELFU YA WANAVYUO KUJISAJILI

RIPOTA WA WAZIRI MKUU SERIKALI imewaruhusu wanafunzi 28,000 waliokidhi vigezo vya kupata mikopo ya elimu ya juu kwa mwaka 2022/2023 lakini hawajapangiwa kupata mikopo kwenda...

JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI KUBURUZWA MAHAKAMANI

RIPOTA PANORAMA, ARUSHA RUBANI Mstaafu wa Shirika la Ndege la India, Dennis Masha Wekesa anakusudia kuiburuza mahakamani Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) baada ya jumuiya...

SYMBION MASWALI LUKUKI

RIPOTA PANORAMA SAKATA linalotokota chini kwa chini kwa muda mrefu sasa linalohusu Kampuni ya Symbion Power LLC kulipwa na Serikali, Shilingi bilioni 350 huku ikiwa...

TRA- HAKUNA KODI KUSAFIRISHA MAZAO YA CHAKULA NJE YA NCHI

RIPOTA PANORAMA MAMLAKA ya Mapato (TRA) imesema mazao ya chakula yanayosafirishwa kutoka nchini kwenda kuuzwa nje ya nchi hayatozwi kodi ya aina yoyote na mamlaka...

WALIOFARIKI AJALI YA NDEGE BUKOBA KUAGWA LEO

RIPOTA PANORAMA MIILI ya watu 19 waliofariki katika ajali ya ndege inayomilikiwa na Shirika la Ndege la Precision Air iliyotumbukia Ziwa Victoria jana asubuhi inatarajiwa...

DENDEGO: CHANGAMKIENI FURSA ZA UTALII

RIPOTA PANORAMA MKUU wa Mkoa wa Iringa, Halima Dendego amewataka wakazi wa mkoa huo kuchangamkia fursa za utalii kufuatia Kongamano la Kimataifa la Utalii litakalofanyika...
spot_img