Sunday, 23 August 2026

Mkusanyiko wa habari

Michezo Kimataifa

BESIKTAS YAMTANGAZA VINCENZO WA ITALIANO KUWA KOCHA MKUU MPYA

‎Klabu ya Beşiktaş ya Uturuki imefikia makubaliano na kocha raia wa Italia, Vincenzo Italiano, kumteua kuwa kocha mkuu mpya wa timu hiyo kwa mkataba wa miaka mitatu utakaodumu…

‎FIFA YA TANGAZA ALBAMU YA KOMBE LA DUNIA 2026

Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limetangaza kuwa limekusanya kundi la wasanii mashuhuri wa muziki kutoka sehemu mbalimbali za dunia kwa ajili ya Albamu Rasmi ya Kombe la Dunia…

DIOMANDE AFUNGUKA KUHUSU PSG HUKU LIVERPOOL WAKIMTAKA

‎Mchezaji wa RB Leipzig, Yan Diomandé, ameibua mjadala kuhusu hatma yake baada ya kueleza wazi mapenzi yake kwa Paris Saint-Germain wakati akihusishwa na uhamisho wake majira ya joto.‎‎Diomandé…

MAN CITY YATISHIA KUIBURUZA REAL MADRID MAHAKAMANI

‎Klabu ya Manchester City imetangaza kuwa inafikiria kuchukua hatua za kisheria baada ya kuibuka kwa taarifa nchini Hispania zinazodai kuwa mshambuliaji wake nyota, Erling Haaland, anaweza kuhamia Real…