Kocha mkuu wa klabu ya Espérance Sportive de Tunis, Patrice Beaumelle, amekiri kuwa kikosi chake kinakabiliwa na changamoto kubwa kuelekea mchezo wa marudiano wa nusu fainali ya Ligi…
LONDON, Uingereza BEKI na nahodha wa zamani wa klabu ya Chelsea, John Terry, ameinunua klabu ya Colchester United inayoshiriki Ligi Daraja la Pili nchini England (EFL). Terry mwenye…
BAADA ya kufungwa bao 1-0 na Sunderland, ni wazi Tottenham inaelekea kushuka Daraja msimu huu wa Ligi Kuu ya England (EPL). Kichapo hicho ni mwendelezo wa hali mbaya…
LONDON, UingerezaIMEFICHUKA kuwa mabosi wa Arsenal wameanza kusaka mrithi wa kocha wa sasa, Mikel Arteta. Ripoti zinaeleza kuwa mabosi wa Arsenal hawatovumilia endapo timu yao itaambulia patupu msimu…
MANCHESTER, Uingereza ‘ASISTI’ zake katika ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Chelsea zimemfanya kiungo wa Manchester City, Rayan Cherki, kuweka rekodi mpya Ligi Kuu England (EPL). Man City…
ACCRA, Ghana NYOTA wa kabumbu mwenye umri wa miaka 20 nchini Ghana ameuawa baada ya watu wasiojulikana kuvamia na kulishambulia kwa risasi basi la timu yake. Winga huyo…
KAMPALA, Uganda SHABIKI wa Arsenal raia wa Uganda, Eric Kyama, anajiandaa kuifungulia mashitaka klabu hiyo kwa kile alichodai imemsababishia changamoto za kisaikolojia, hasa huzuni na msongo wa mawazo.…
LONDON, Uingereza SOKA ndiyo mchezo unaopendwa na kufutatiliwa zaidi duniani, hiyo ikisababisha wachezaji na makocha kuishi kifahari kutokana na fedha nyingi wanazovuna. Katika makala haya, hawa ni makocha…
LONDON, Uingereza MKONGWE wa Newcastle United, Alan Shearer, anaamini Manchester City itaibuka na ushindi katika mchezo wao dhidi ya Chelsea. Timu hizo zitaumana kesho Aprili 12, 2026 katika…
MERSEYSIDE, Uingereza BAADA ya beki wa kushoto Andy Robertson kuthibitisha kuwa ataondoka Liverpool mwishoni mwa msimu huu, klabu kadhaa barani Ulaya zimeanza kujipanga kuwania saini yake, zikivutiwa na…