Uncategorized

EMERY APANGA KUIBOMOA BARCELONA

LONDON, Uingereza KOCHA wa Aston Villa, Unai Emery, anaitaka saini ya beki wa Barcelona, Alejandro Balde, na amewaambia mabosi wake waandae kitita cha Pauni milioni 43. Beki huyo wa kushoto amewahi...

BAYERN YAMKODOLEA MACHO KIUNGO WA TOTTENHAM

LONDON, Uingereza BAYERN Munich inampigia hesabu za karibu kiungo wa Tottenham na timu ya Taifa ya Senegal, Pape Matar...

RIPOTI: IDADI YA WAHAMIAJI ULAYA IMEVUNJA REKODI, UJERUMANI INAONGOZA

LONDON, UingerezaRIPOTI mpya imeonesha kuwa Ulaya nchi za Ulaya zlipokea wahamiaji milioni 64 mwaka 2025, likiwa ni ongezeko...

RAIS WA TAIWAN ASITISHA ZIARA YAKE AFRIKA, CHINA IKITAJWA KUWA CHANZO

TAIPEI, TaiwanRAIS wa Taiwan, Lai Ching-te, ameahirisha ziara yake nchini Eswatini, huku akiitaja China kuwa ndiyo chanzo cha...

USIYOYAJUA KUHUSU ZIARA YA PAPA LEO BARANI AFRIKA

KIONGOZI wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Leo XIV, yuko barani Afrika kwa ziara ya siku 10 katika mataifa...
spot_img

KWA SABABU YA UCHAGUZI 2010 MUNGU ATUJALIE MATESO NA KILIO

YAPATA miezi nane sasa tangu nilipowaonya wapiga kura wa Tanzania waliokuwa wakifurahia kupewa ubwabwa na maharage, khanga, tisheti na kofia wakati wa kampeni...

CHONDE CHONDE MPENZI SPIKA MAKINDA

 Makinda SIKUPATA kufiriki hata siku moja kukujadili kwa heri au kwa shari kiongozi wangu mpenzi wa Bunge, Spika Anne Makinda kwa sababu ya kuhofia kukutia...

SPIKA MAKINDA KUWADI WA UFISADI?

  MakindaLEO ni sikukuu ya maboksi (boxing day) watu  wanapeana zawadi kwenye maboksi wakati wakiendelea kusherehekea sikukuu ya kuzaliwa kwa Yesu kristo, sikukuu kubwa kwa...

AKILI YA RAIS KIKWETE CHANGANYA ZA MBAYUWAYU

  KikweteRAFIKI yangu Rais Jakaya Kikwete ndiye kiongozi mkuu wa kaya yetu. Tunayatambua mamlaka aliyonayo, hatuna shaka hata kidogo na uelewa wake wa mambo hivyo...

MBATIA POPO WA KISIASA ALIYECHUJA

 MbatiaHUWEZI kuandika ukurasa mmoja wa historia ya harakati za vijana katika kutafuta na kujenga mageuzi ya Taifa hili bila kuandika jina James Francis Mbatia....

‘POSTMORTEM’ YA KICHOKONOZI YA AKILI MBILI

 Afande Barlow AKILI mbili za binadamu wawili zimeuchanganya ulimwengu. Zimefanya uchunguzi wa maiti kwa kupeleleza sababu ya kufo na kutoa majibu tofauti.Akili hizi mbili, zote...
spot_img