Uncategorized

EMERY APANGA KUIBOMOA BARCELONA

LONDON, Uingereza KOCHA wa Aston Villa, Unai Emery, anaitaka saini ya beki wa Barcelona, Alejandro Balde, na amewaambia mabosi wake waandae kitita cha Pauni milioni 43. Beki huyo wa kushoto amewahi...

BAYERN YAMKODOLEA MACHO KIUNGO WA TOTTENHAM

LONDON, Uingereza BAYERN Munich inampigia hesabu za karibu kiungo wa Tottenham na timu ya Taifa ya Senegal, Pape Matar...

RIPOTI: IDADI YA WAHAMIAJI ULAYA IMEVUNJA REKODI, UJERUMANI INAONGOZA

LONDON, UingerezaRIPOTI mpya imeonesha kuwa Ulaya nchi za Ulaya zlipokea wahamiaji milioni 64 mwaka 2025, likiwa ni ongezeko...

RAIS WA TAIWAN ASITISHA ZIARA YAKE AFRIKA, CHINA IKITAJWA KUWA CHANZO

TAIPEI, TaiwanRAIS wa Taiwan, Lai Ching-te, ameahirisha ziara yake nchini Eswatini, huku akiitaja China kuwa ndiyo chanzo cha...

USIYOYAJUA KUHUSU ZIARA YA PAPA LEO BARANI AFRIKA

KIONGOZI wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Leo XIV, yuko barani Afrika kwa ziara ya siku 10 katika mataifa...
spot_img

ROHO IMEKUFA MWILI UNAISHI

 MullindaNIMEFIKISHIWA ujumbe wa kienyeji kuwa watu wanaojeruhi wenzao kwa vitu vyenye ncha kali hawafurahishwi na maandishi yangu. Ujumbe huo niliofikishiwa unaeleza kuwa maandishi yangu...

KIBANDA HANA SHUKRANI

 KibandaNIMEPATA fursa ya kukaa kitako na Absalom Kibanda   na kuzungumza naye mambo mengi huku anakotibiwa baada ya kuvamiwa na kujeruhiwa vibaya na genge la...

WAMEMNG’OA KIBANDA JICHO LA MWILINI WAMEMUACHIA LA ROHONI

KibandaNIKO nchini Afrika ya Kusini kwa takriban wiki moja sasa. Nimekuja kumjulia hali kaka, bosi na Mwalimu wa wachokonozi, Absalom Kibanda ambaye alivamiwa,...

NINAKUAMKIA KAKA ABSALOM KIBANDA

KibandaABSALOM Norman Kibanda, ninakuamkia kwa lugha adhimu ya kichokonozi, shikamoo kaka.Ninakuamkia kwa upendo uliopitiliza wa kichokonozi huko kitandani kwa wageni ulikolala ukiuguza majeraha...

NINAKUAMKIA JULIUS KAMBARAGE NYERERE

J.K NyerereMWALIMU Julius Kambarage Nyerere, ninakuamkia shikamoo. Habari za miaka 12 iliyopita? Ninatambua umetu‘miss’ sana watanzania wako ambao hutujakuona kwa muda mrefu sasa baada...

NIMEMALIZA FUNGATE NINATAKILIFU KUITALIKA SERIKALI

KWA kawaida fungate hudumu kwa muda wa siku saba. Hili ni fungate la kawaida baina ya wanandoa ambao ni mume na mke.Kwa wachokonozi...
spot_img