Friday, 21 August 2026

Mkusanyiko wa habari

Uncategorized

SERIKALI ILIVYOIBIWA TANZANITE MKONONI

Na Mwandishi Wetu MAOFISA wa Serikali waliokuwa katika chumba cha kuchenjulia madini cha mgodi wa TanzaniteOne, uliopo Mererani mkoani Manyara Juni 20, 2017, wanadaiwa kuhadaiwa na mmoja wa…

RC MAKONDA AKAGUA MIUNDOMBINU YA MAJI

Na Jerry Murro MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amefanya ziara ya kukagua ujenzi wa Miundombinu ya Maji ambayo itaongeza wigo wa upatikanaji wa maji…

WAZIRI MAVUNDE AZINDUA MAFUNZO KWA VIJANA

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Ulemavu, Anthony Mavunde akizungumzawakati wa ufunguzi wa mafunzo ya utambuzi wa ujuzi uliopatikana nje ya mfumo…

MASHARTI MAGUMU RAIS DOS SANTOS AKING’ATUKA

ANGOLA leo inafanya uchaguzi mkuu wa kumchagua Rais na wabunge baada Bunge na chama tawala cha MPLA kuridhia masharti ya Rais anayeondoka madarakani, Jose Eduardo Dos Santos. Kwa…

Tajiri azungumzia wizi wa tanzanite Mirerani

Na Mwandishi Wetu MMOJA wa wakurugenzi wa Kampuni ya Sky Associates Limited, Faisal Juma Shahbhai, amesema kuingia katika maeneo ya uchimbaji madini ya tanzanite yanayomilikiwa na kampuni yake…

ZIARA YA RAIS WA ZANZIBAR Dk. SHEIN WILAYA YA MAGHARIBI "B"

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipowasili katika ufunguzi wa  jengo la madarasa 3 mapya katika…

RIDIWANI AKABIDHI ZWADI ZA WASHINDI WA MICHUANO YA NDONDO CUP

 Mbunge wa Chalinze Ridhiwani  Kikwete akizungumza na familia ya Wanamichezo wakati wautoaji wa Tunzo za Mchezaji borawa michuano ya Ndondo Cup inayoandaliw ana kampuni ya CloudsMedia Group kupitia…